Kwa wanaume: Zijue mbinu mpya za wanawake wa siku hizi wanaosaka ndoa kwa nguvu

  • Thread starter Nkwabichalleslutonja
  • Start date

N

Nkwabichalleslutonja

Member
Joined
Jul 12, 2017
Messages
85
Likes
77
Points
25
N

Nkwabichalleslutonja

Member
Joined Jul 12, 2017
85 77 25
1.Siku ya kwanza atakuja na chupi mbili, moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi.

2.Siku ya pili anakuja na khanga anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka.

3.Siku ya Tatu, anasahau pete na mkoba juu ya meza anakwambia "hny" nitunzie hereni zangu na mkoba nimesahau kwenye meza.

4.Siku ya nne, anakuja na vipedo vya kubadilisha na viatul pea 2 anavua high heels anaweka kwenye shoe rack asubuhi anaondoka asubuhi anaondoka na flat shoes anakwenda chuo.

Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha, ole wako uvihamishe alipoziweka kasi inaanza. Hao ndo wanawake wa kileo akija na begi nzima si utamuuliza vipi mwezangu na utamkimbiza anahamia taratibu mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na perfume na mafuta ya rays inakuwa imejaa hereni na foundation, huna haja ya kuuliza ndo kashahamia huyo.

Kifuatacho utaambiwa "hny I miss my days, zamani nilijua ni simu tu za mikononi zinakuwa na missed calls, siku hizi kuna missed days, ukiambiwa hivyo tu jua imeshakula kwako inawindwa ndoa.
 
ikinyunyi

ikinyunyi

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,082
Likes
857
Points
280
ikinyunyi

ikinyunyi

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,082 857 280
Hahaa....ngoja waje!
 
FORCE NAMBA

FORCE NAMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
946
Likes
315
Points
80
FORCE NAMBA

FORCE NAMBA

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
946 315 80
Bora Huyo kafuata utaratibu
 
issa mweusi

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,497
Likes
1,100
Points
280
issa mweusi

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,497 1,100 280
Ni kwel
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,273
Likes
11,794
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,273 11,794 280
Akija mara ya nne na tabia ya kuacha vitu. Basi siku hiyo akiondoka wewe vikusanye kusanye jisogeze kituo cha daladala elekea maeneo ya kwao ukifika mwite halafu unamkabidhi begi la vitu vyake. Akiuliza kuna nini ndani mwambie ni suprise hivyo aende akafungulie ndani. Akifika ndani kufungua begi hautamuona tena kwako. Ingawa utakua umepata hasara ya begi ulilotumia kuwekea vitu vyake.
Mbinu nyingine ni kama una mpango wa kuhama pale unapoishi basi wewe relax tu. Kodi ikiisha atapata majibu yake.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
Za kizamani hizo

Siku hizi unakaangiwa chumvi na kuchomewa kifuu cha nazi

Utaoa fasta bila shida ya kuhama kidogo kidogo
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,519
Likes
16,690
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,519 16,690 280
1.siku yakwanza atakuja na chupi mbili ,moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi
2.siku ya pil anakuja na khanga anaivaa usiku ,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka
3.siku ya Tatu ,anasahau Pete na mkoba juu ya Meza anakwambia "hny" nitunzie hereni zangu na mkoba nimesahau kwenye meza.
4.siku ya nne,anakuja na vipendo vya kubadilisha na viatul pea 2 anavua high heels anaweka kwenye shoe rack asubuhi anaondoka asubuhi anaondoka na flat shoes anakwenda chuo .
baada ya mwez chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha ,ole wako uvihamishe alipoziweka kasi inaanza.
hao ndo wanawake wa kileo akija na begi nzima si utamuuliza vipi mwezangu na utamkimbiza.......anahamia taratibu...mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na perfume na mafuta ya rays inakuwa imejaa heren na foundation,huna haja ya kuuliza ndo kashahamia Huyo.
Kifuatacho utaambiwa "hny I miss my days,zamani nilijua ni simu tu za mikononi zinakuwa na missed calls, siku hiz kuna missed days,ukiambiwa hivyo tu jua imeshakula kwako inawindwa ndoa.
Kama ni wife mayerials, sioni tatizo! Tena namwambia kaleye na vyupi vya akiba.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Miss natafuta zitamsaidia hizo mbinu.
 
calvind

calvind

Senior Member
Joined
Feb 5, 2016
Messages
160
Likes
155
Points
60
Age
48
calvind

calvind

Senior Member
Joined Feb 5, 2016
160 155 60
1.siku yakwanza atakuja na chupi mbili ,moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi
2.siku ya pil anakuja na khanga anaivaa usiku ,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka
3.siku ya Tatu ,anasahau Pete na mkoba juu ya Meza anakwambia "hny" nitunzie hereni zangu na mkoba nimesahau kwenye meza.
4.siku ya nne,anakuja na vipendo vya kubadilisha na viatul pea 2 anavua high heels anaweka kwenye shoe rack asubuhi anaondoka asubuhi anaondoka na flat shoes anakwenda chuo .
baada ya mwez chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha ,ole wako uvihamishe alipoziweka kasi inaanza.
hao ndo wanawake wa kileo akija na begi nzima si utamuuliza vipi mwezangu na utamkimbiza.......anahamia taratibu...mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na perfume na mafuta ya rays inakuwa imejaa heren na foundation,huna haja ya kuuliza ndo kashahamia Huyo.
Kifuatacho utaambiwa "hny I miss my days,zamani nilijua ni simu tu za mikononi zinakuwa na missed calls, siku hiz kuna missed days,ukiambiwa hivyo tu jua imeshakula kwako inawindwa ndoa.
Mkuu agiza bia ntakuja kulipa
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,314
Likes
1,218
Points
280
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,314 1,218 280
UMRI
Akija mara ya nne na tabia ya kiacha vitu. Basi siku hiyo akiondoka wewe vikusanye kusanye jisogeze kituo cha daladala elekea maeneo ya kwao ukifika mwite halafu unamkabidhi begi la vitu vyake. Akiuliza kuna nini ndani mwambie ni suprise hivyo aende akafungulie ndani. Akifika ndani kufungua begi hautamuina tena kwako. Ingawa utakua umepata hasara ya begi ulilotumia kuwekea vitu vyake.
Mbinu nyingine ni kama una mpango wa kuhama pale unapoishi basi wewe relax tu. Kodi ikiisha atapata majibu yake.
.... ungekuwa bado hii inaonekana ni muswano sana maana nime... :D:D:D:D:D :D:D:D:D hahaaa.
 
J

JWKRMM

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
1,562
Likes
971
Points
280
J

JWKRMM

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2017
1,562 971 280
1.Siku ya kwanza atakuja na chupi mbili, moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi.

2.Siku ya pili anakuja na khanga anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka.

3.Siku ya Tatu, anasahau pete na mkoba juu ya meza anakwambia "hny" nitunzie hereni zangu na mkoba nimesahau kwenye meza.

4.Siku ya nne, anakuja na vipedo vya kubadilisha na viatul pea 2 anavua high heels anaweka kwenye shoe rack asubuhi anaondoka asubuhi anaondoka na flat shoes anakwenda chuo.

Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha, ole wako uvihamishe alipoziweka kasi inaanza. Hao ndo wanawake wa kileo akija na begi nzima si utamuuliza vipi mwezangu na utamkimbiza anahamia taratibu mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa na perfume na mafuta ya rays inakuwa imejaa hereni na foundation, huna haja ya kuuliza ndo kashahamia huyo.

Kifuatacho utaambiwa "hny I miss my days, zamani nilijua ni simu tu za mikononi zinakuwa na missed calls, siku hizi kuna missed days, ukiambiwa hivyo tu jua imeshakula kwako inawindwa ndoa.
Akipata ndoa anaanza kuwinda nje ya ndoa kumiss wanaume hakuishi ataendelea kuwambia waume wenza anawamiss.
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,707
Likes
5,762
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,707 5,762 280
Akija mara ya nne na tabia ya kiacha vitu. Basi siku hiyo akiondoka wewe vikusanye kusanye jisogeze kituo cha daladala elekea maeneo ya kwao ukifika mwite halafu unamkabidhi begi la vitu vyake. Akiuliza kuna nini ndani mwambie ni suprise hivyo aende akafungulie ndani. Akifika ndani kufungua begi hautamuina tena kwako. Ingawa utakua umepata hasara ya begi ulilotumia kuwekea vitu vyake.
Mbinu nyingine ni kama una mpango wa kuhama pale unapoishi basi wewe relax tu. Kodi ikiisha atapata majibu yake.
Hiyo njia ndefu sana ....kama aliacha chupi mbili siku akirudi akute nne na za mwenzake .....
 
raxx

raxx

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Messages
229
Likes
141
Points
60
Age
48
raxx

raxx

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2016
229 141 60
Mkuu upo sahihi Sana Mimi huyu Dem ninayeishi Naye Yaani sijui hata ilianzaje mpaka now tunaishi wote..aise wanawake wajanja Sana...
 
mathias Edward

mathias Edward

Member
Joined
Nov 6, 2017
Messages
12
Likes
4
Points
5
mathias Edward

mathias Edward

Member
Joined Nov 6, 2017
12 4 5
Mimi akiniachia vitu kaivyo napiga bei tu, kama cmpendi.
 
Forum statistics

Threads 1,239,089
Members 476,369
Posts 29,341,802