Mbinu mpya ya kutafuta wateja.

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,424
15,975
Nimetumiwa hii text na huyu ambaye bila shaka ni witch doctor..
57ec593ebcbfc7fa61b6867008b68f7f.jpg

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
 
BABU KAMBA NDEFU Bingwa wa tiba asili, nyota, pete, kumvuta mme/mke, mvuto, biashara, kazi, tiba itakufikia popote. Piga 0711376203/0766483803.

Mwingine huyo alinitumia meseji nikaona fala nikampotezea
 
Kuna mmoja tulimuwekea mtego akajaa vizuri kilichofuata mpaka anaiaga dunia hii hatasahau alikula kipigo heavy na tukamsachi kila kitu alikuwa lap top na smart phone tatu power bank mbili wallet ilikuwa na 90000/= tukamvua nguo alibaki na boxer tu washenzi sana hawa jamaa wanajifanya wajuaji ili hali wengine tuna ujuaji kombinenga
 
Ulitumia mbinu gani kumkamata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulimtumia tu mtoto wa kike ambaye ambaye alijifanya ana matatizo ya uzazi ikatumwa na 50000 mara ya kwanza huku na huku wakakubaliana wakutane kona ya BWIRU demu akarudi akasema kuwa mshikaji inaonekana ni tapeli amekaa tu kisharobaro amemwambia apeleke 600000 hapo hapo nasi tukaliunga tulikuwa wa kwanza kufika hotelin kabla yao akaja na na vitu vyake wakakaa wakaongea tunamhesabia tu dakika ya mwisho tulimfuata tukamwambia asiongee chochote asimame kimya kimya tukijifanya tumefumania tukaondoka wote ttukakodi taxi mpaka kisesa tukamuingiza chocho alikula kichapo mbona alilia kilugha cha kwao sachi kila kitu
 
Lakini mlimuonea.

Kwani kwani maradhi ya tumbo yanatibiwa na hawa wababu matapeli wa kutumia simu??

Ilikuwaje mkamtafuta yeye kabla??
 
Tulimtumia tu mtoto wa kike ambaye ambaye alijifanya ana matatizo ya uzazi ikatumwa na 50000 mara ya kwanza huku na huku wakakubaliana wakutane kona ya BWIRU demu akarudi akasema kuwa mshikaji inaonekana ni tapeli amekaa tu kisharobaro amemwambia apeleke 600000 hapo hapo nasi tukaliunga tulikuwa wa kwanza kufika hotelin kabla yao akaja na na vitu vyake wakakaa wakaongea tunamhesabia tu dakika ya mwisho tulimfuata tukamwambia asiongee chochote asimame kimya kimya tukijifanya tumefumania tukaondoka wote ttukakodi taxi mpaka kisesa tukamuingiza chocho alikula kichapo mbona alilia kilugha cha kwao sachi kila kitu
Hiyo ndio dawa mubashar natamani ningekuwepo hapo kuna kumbukumbu moja hamjamuachia aisee.
 
Kuna mmoja tulimuwekea mtego akajaa vizuri kilichofuata mpaka anaiaga dunia hii hatasahau alikula kipigo heavy na tukamsachi kila kitu alikuwa lap top na smart phone tatu power bank mbili wallet ilikuwa na 90000/= tukamvua nguo alibaki na boxer tu washenzi sana hawa jamaa wanajifanya wajuaji ili hali wengine tuna ujuaji kombinenga
Waapuzi sana hawa majuzi wamemkalisha barabarani uchi mke wa mtu .
 
Back
Top Bottom