Hili la mikopo ya online ku-access contacts za wateja lazima lichukulie hatua

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Dawa ya deni ni kulipa, hakuna namna.

Ila kama mtu ana uwezo wa kupenyeza hadi kupata taarifa za walio kwenye simu yako na kuwatumia meseji ni hatari kwa usalama wako binafsi.

Sawa watu wana paswa kusoma terms and conditions lakini kama hiki kipengele cha kudukua taarifa za simu za wateja kipo basi hii ni cyber crime.

Next time staffs wa hapo wataweza ku-hack taarifa za benki na mobile money zako kwa style nyingine na kupelekea kukuibia pesa zako zote.

It is dangerous.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Nikuondoe Shaka Mara Nyingi mhusika anakuweka wewe kama mdhamini wake

Siyo rahisi kufanya hayo uliyoyasema ni mpaka kwa idhini maalum kutoka sehemu maalum!

Shukrani
 
Ahsante mkuu

Ila watu wanalalamika unakuta watu karibia 50 wanatkutafuta eti unadaiwa wakati uliweka wawili

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Nikuondoe Shaka Mara Nyingi mhusika anakuweka wewe kama mdhamini wake

Siyo rahisi kufanya hayo uliyoyasema ni mpaka kwa idhini maalum kutoka sehemu maalum!

Shukrani
amna lolote hao kmnna zao ni wasng,wamemtumia msg mama mkwe kumtishia kumkata hela zake kwenye cm na kumuombea kifo wakat sikumueka hata kuwa mdhamin,yan nmechukia vby baad ya leo kutoka nimepiga cm nmefoka sana nilikuwa nipo serenget hifadhini mtandao wa shida sikuw napatikana siku 1 tu yan kudadek zao siwalipi wamenivua nguo vby mno kusema mm ni tapel angali sikuw na hiyo nia
 
Lipa deni la watu
 
aisee, kwa iyo mama mkwe anajua binti yake kaolewa na tapeli
 
Jibu utakalopata ulisoma vigezo na masharti.kiufupi kuvujisha taarifa za mtu kwenye simu yake ni udukuzi.sema tanzania TCRA hipo kwa ajili nani anasema serikali.
Swala ili ulaya walishafutuliwa mbali ndio maana uwezi kuziona IOS
 
amna lolote hao kmnna zao ni wasng,wamemtumia msg mama mkwe kumtishia kumkata hela zake kwenye cm na kumuombea kifo wakat sikumueka hata kuwa mdhamin,yan nmechukia vby baad ya leo kutoka nimepiga cm nmefoka sana nilikuwa nipo serenget hifadhini mtandao wa shida sikuw napatikana siku 1 tu yan kudadek zao siwalipi wamenivua nguo vby mno kusema mm ni tapel angali sikuw na hiyo nia
Serikali imetoa mwongozo tayari, hao WAHUNI usiwalipe chochote hadi mlipane kwanza fidia..

amna lolote hao kmnna zao ni wasng,wamemtumia msg mama mkwe kumtishia kumkata hela zake kwenye cm na kumuombea kifo wakat sikumueka hata kuwa mdhamin,yan nmechukia vby baad ya leo kutoka nimepiga cm nmefoka sana nilikuwa nipo serenget hifadhini mtandao wa shida sikuw napatikana siku 1 tu yan kudadek zao siwalipi wamenivua nguo vby mno kusema mm ni tapel angali sikuw na hiyo nia
Aiseeee hiii ni too much

Pole sana mkuu.

Back
Top Bottom