Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini

Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini

Chadema/Ukawa walishashtuka kitambo ndo maana inatumika "Mabadilikoooo... Lowasaaaaaa..., Lowasaaaaaaaa... Mabadilikooooo!!!" yeye aige tu. tena namshauri aite abadilishe na jina la chama chake aite CHADEMA

Siku hizi akihutubia lazima atie; PEOPLEEEESSSSS
 
Lipo jambo linalomkwaza yule mama na wala sio suala la yeye kuwepo kazini. Tena ujue hata kama mumewe atafanikisha analokusudia yeye na chama chake kwa michezo yao haramu inayoweza kuishia kumwaga damu ya raia pia mama anaweza kukataa huo u-first lady na kumwambia mumewe aende mwenyewe ikulu nae akabaki na wanae wanapoishi. Yule mama anaonekana ni mchamungu wa kweli na anayaelewa vilivyo maovu na udhaifu wa mumewe nae hataki kuchafuka nae.Kwa kuwa nae bado anaiheshimu ndoa yake takatifu ndio maana bado yupo na huyu mume vinginevyo kwa wanawake wengine kwa Magufuli kuwa na wanawake wa nje hadi kuwahonga majumba na kusimamia mahoteli kama tunavyosoma humu jf inataka mwanamke aliefundwa kisawasawa. Usishangae hata ushawishi wa mama Maria usifue dafu pale.

Naamini maneno yako kiongozi
 
Hata wamlete docta mihogo na lipumba.hiyo mbinu haitosaidia kitu.tena ndio wataharibu zaidi.watu wameamua sasa hivi.na hakuna wa wa kuwarudisha nyuma.wanamtaka huyo huyo mgojwa.
 
Paul Alex

Mimi binafsi nakushukuru kwa hilo ila kwa slaa naona wamechelewa sana maana hakuna mtanzania anaye msikikiza tena slaa

Mi nitaanza kumsikiliza na kuzirudia hotuba zake ikiwa ni pamoja na kuzifanyia kazi kuanzia trh 26/10/2015
 
Hata wamlete docta mihogo na lipumba.hiyo mbinu haitosaidia kitu.tena ndio wataharibu zaidi.watu wameamua sasa hivi.na hakuna wa wa kuwarudisha nyuma.wanamtaka huyo huyo mgojwa.

Lowasa hadi ikulu hakuna breki
 
Tena mi naifurahia hii ya dr slaa kupanda majukwaani... mmm embu wamuweke kwenye hilo jukwaa...

Kwa jinsi ninavyo tazama misimamo ya mamilioni ya watanzania kudhamilia mabadiliko, slaa akipanda jukwaani kunadi sera za ccm watanzania watamshusha kwa mawe na makoota
 
Lowasa ndo anahitajika kwa sasa sana na waTanzania then oxygen
 
Back
Top Bottom