Mshaona mambo magumu mmekuwa na mchechetu!
Kwi kwi kwi teh teh teh,
Bado.
Jana Lowassa kashindwa kuhutubia ikabidi awahishwe Mwanza, leo tuone ataweza dakika ngapi?
Nakwambia humu yamejaa majuha hayana lolote
Mnaenda kulala tulipoamkia halafu mnajiona wajanja?
labda hawezi kuongea kama Lowasa.
labda hawezi kuongea kama Lowasa.
lakini akipanda jukwaani ,mtasema oh huyu mtumishi wa umma ,analipwa Na serikali why ashiriki siasa!!
lakini ni Wapi inaweza kuthibitishwa kama kweli amekataa?!
labda hana ule uwezo wa public speaking!!
Lin wameamua
Kalia hivo hivo na umaskini wako na ccm yako ....vima wewe.
Na sisi tunataka akaipige hiyo picha
Yule Mzee mpaka huwa namuhurumia hahahaha
Walikwisha toka Zamani hawa
CDM na KIRUSI chao