Haemoglobin
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 295
- 41
Wakuu nzur sana updates kama hizi
Waambie hao UKAWA wabadilike; wananchi wanataka kusikia mambo mawili tu: moja,ni kwanini wanafikiri waliopo madarakani hawafai, na mbili ni kwanini wanafikiri wao wanafaa zaidi. Waachane kabisa na kazi ya kuorodhesha ahadi kama wanavyofanya wenzao kwani hili ndilo lililompatia dokta mihogo umaarufu; tena wasipofanya hili mapema hata hizo nyomi zitapwelea- si umewasikia jana wakidai ubovu wa makufuli usemwe hadharani? kwanini sasa hao UKAWA wanakuwa mabubu? au hawajui maana ya kampeni ni nini?Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
Nakwambia humu yamejaa majuha hayana lolote
tulishapiga kura july tunasubiri sanduku tu
Jipeni moyo tu...mke wa magufuli kishasema hawezi kuambatana na mtu asiye muaminifu kwenye ndoa yake...amchukue yuke akiyemhomga nyumba na kumjaza mimba pale mabibo hostel
shemeji mbona hivyo!!
Kwani kutokuwa mzuri kwenye public speaking ni kosa?
mbona hata madomo zege wapo wengi tu kitaa.
Kubenea na Gwajima walishamzika Slaa asubuhi mapemaa ...
CCM keep trying, never lose hope.....
Nafwatiliaga sana mabandiko yako kule Facebook jinsi unavyopotosha umma. kama haya mabandiko ni yakweli basi kuwa makini kuna siku watakunyonya kamasi hawa watu unaowafanyia udukuzi kwenye vikao vyao.Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
Waambie hao UKAWA wabadilike; wananchi wanataka kusikia mambo mawili tu: moja,ni kwanini wanafikiri waliopo madarakani hawafai, na mbili ni kwanini wanafikiri wao wanafaa zaidi. Waachane kabisa na kazi ya kuorodhesha ahadi kama wanavyofanya wenzao kwani hili ndilo lililompatia dokta mihogo umaarufu; tena wasipofanya hili mapema hata hizo nyomi zitapwelea- si umewasikia jana wakidai ubovu wa makufuli usemwe hadharani? kwanini sasa hao UKAWA wanakuwa mabubu? au hawajui maana ya kampeni ni nini?
Nafwatiliaga sana mabandiko yako kule Facebook jinsi unavyopotosha umma. kama haya mabandiko ni yakweli basi kuwa makini kuna siku watakunyonya kamasi hawa watu unaowafanyia udukuzi kwenye vikao vyao.
Kuishiwa ni kubaya jamani,loh....CCM kwishaney kabisa mpaka kufikiri sasa UKAWA ndiyo limoti ya CCM.CCM hawana sababu ya kufanya hvyo.Ile kuimanipulate M4C haıkuwa kuitumia km slogan.Unapokuwa kwenye jukwaa la siasa licha kukazana na wanaokuunga mkono,ni lazima ujitahdi kuwavuta wale wasıokuunga mkono.Km UKAWA hamna mtazo huo mmekwisha.
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
Leo umeandika umesha gonga VODKAJipeni moyo tu...mke wa magufuli kishasema hawezi kuambatana na mtu asiye muaminifu kwenye ndoa yake...amchukue yuke akiyemhomga nyumba na kumjaza mimba pale mabibo hostel
ya kongovipi mkongomani yupo mitaa ipi?
ya kongo
Leo umeandika umesha gonga VODKA
Ahsante sana Mkuu kwa taarifa hizi muhimu. Nina imani Mungu asiyetutoa kuwa mawingo ya adui zetu, atasimama na taifa la Tanzania hata katika hizi hila za mfalme dharimu.
Kwanza naomba Mungu awalinde watoto wangu na vizazi vyangu vyote, visipatwe na yaliyompata Dr. Slaa. Inaonekana Dr. anaadhibiwa adhabu kali sana inayompa mateso ya kumdhalilisha mbele ya dunia. Sijui anaadhibiwa hivyo kwa sababu ipi.
Lakini, ninajua hata Samsoni aliyepatwa na madhira kama aliyonayo Dr, kati kati ya makusanyiko ya mashetani, aliamua na kudhamiria kumpa Mungu utukufu bila kujali gharama ya maamuzi yale. Aliona uamuzi wake ni bora kuliko kuishi katika umateka akidhihakiwa na kutumikiswa huku Delila akipata matuzo mbali mbali.
Ninachoamini, Dr. Slaa ni binadamu ameumba kwa mfano wa Mungu. Japo watesi wake wanaweza kuwa wamekamata akili yake na kumdhibiti kwa vitisho ama ahadi, kabla hawajamwita kumfanya bundi na sanamu la kampeni, ufahamu wake utakuwa umerudi, atajiona namna delila wake alivyomkabidhi kwa wafilisti na namna anavyotumikishwa kinyume na ndoto zake, na ataona fedha, mke au chochote hakita msaidia katika dhambi yake, na atachukua maamuzi.
Ccm atakachowafanyia, wataandika kwenye kitabu cha kumbukumbu. Wajaribu kumtumikisha ki hivyo waone.
Hata hivyo sisi tuna Mungu. Katika mbinu ovu za ccm , Mungu atatutumia Malaika wake watatubeba wala hatutapatwa na uharibifu wowote.
Sana sana mashimo wayachimbayo ccm wanaingia wao na nyavu wazitegazo zinawanasa wao na hawatakuwa na mwokozi wala mfariji siku ya msiba wao!. 25th October!