DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
4 U Movement matumaini yanazidi kufifia kila kukicha...
Lowassa atakwenda kupiga picha ikulu tu hana lingine
Hilo la kumtumia Slaa inabidi watafakari kwa kina yasije yakamsibu yale ya Mtikila kule Tarime alipokubali kutumika kama tambara mwishowe akapopolewa kwa mawe.
Sioni sababu ya mke wa Magufuli kupanda jukwaani
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;
1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).
2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.
Tukuulize wewe unafanyikaje uchunguzi ikiwa unamwita mkongomani!Vipi uchunguzi wa uhamiaji dhidi ya mkongomani umefikia wapi? Eti kwao mwandiga
Kuwepo kazini siyo hoja mbona salma alikuwa mwl lkn bado alishiriki kanpeini za kikwete?
Baba yako nikizazi cha ccm, CCM NI BABUYAKOAct ni mtoto wa ccm
Hata awe bubu anakwenda ikulu,hata awe vipi atashinda si hospitali zipo!Ehe hakuna namna sasa......