CCM hata waje na mikakati ya aina gani ... Wananchi wameamua tayari .. Mwaka huu lazima wang'olewe ... hakuna namna tena ...
Hata wafanye nn tumeshaamua. Lowasa tuuuuu
Ebu fikiria kidogo kaka.. Kwa suala la u first lady wapi utakapokosa likizo hata ikibidi isiyokuwa na malipo..
Hawata weza tena maana walisha likoroga wenyewe
Kwani mke wa Pombe si mwalimu Na yupo kazini au?
ok tumesikia... hiyo ya dr ni nzuri lakini ushindi wa ccm ni wazi bila hata mpango huo.
Nahisi slaa atazomewa sana akijaribu kupanda majukwaa ya ccm
safari hii kaburi la kisiasa hawana jinsi ya kulikwepa.
lakini akipanda jukwaani ,mtasema oh huyu mtumishi wa umma ,analipwa Na serikali why ashiriki siasa!!
lakini ni Wapi inaweza kuthibitishwa kama kweli amekataa?!
labda hana ule uwezo wa public speaking!!
CCM hawana sababu ya kufanya hvyo.Ile kuimanipulate M4C haıkuwa kuitumia km slogan.Unapokuwa kwenye jukwaa la siasa licha kukazana na wanaokuunga mkono,ni lazima ujitahdi kuwavuta wale wasıokuunga mkono.Km UKAWA hamna mtazo huo mmekwisha.
Mshaona mambo magumu mmekuwa na mchechetu!
Kwi kwi kwi teh teh teh,
Bado.
Jana Lowassa kashindwa kuhutubia ikabidi awahishwe Mwanza, leo tuone ataweza dakika ngapi?
Unajidanganya kijana