MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,029
- 35,151
Najitambua sifuati mkumboWewe wajiona una uzima:what::banghead:
Najitambua sifuati mkumboWewe wajiona una uzima:what::banghead:
mkiambiwa kuwa chama cha upinzani ni chama kisicho takiwa kupokea mafisadi na kuwapa nafasi, nyie mkajifanya jeuri zaidi, gangwe zaidi mkawakaribisha kwa mbwembwe zaidi na kuwapuuza waadilifu kwa hongo ni kuwanyima tu kura na kumchagua anna mgwira wa act wazalendo maana hamna namna nyingine..tumechoka sasa.ccm hata waje na mikakati ya aina gani ... Wananchi wameamua tayari .. Mwaka huu lazima wang'olewe ... Hakuna namna tena ...
tumewastukia hatuchagui wezi. Mwaka huu ni acthata wafanye nn tumeshaamua. Lowasa tuuuuu
act ndio ninitumewastukia hatuchagui wezi. Mwaka huu ni act
Hao pipo unaowasema na kutuaminisha ndio hawa wanakinzana kila kukicha au unamaanisha hawa vijana wa boda boda na wengineo. sawa mnyetishaji wetu.
Hao nyumbu ndo wapiga kura
Ndio utashangaa mwaka huu nyumbu wanapiga kura ya raisi
Ninasema tutamchagua Lowasa,awe anaumwa,awe mzee,awe hajui kuongea,tutamchagua.
Haya sio mashindano ya nani anaweza kuongea kama chiriku na Tanzania inahitaji Rais zaidi kuliko mashine ya kutunzia kumbukumbu!!Ikulu kuna computer...
Iwe ataleta maendeleo au la,tutamchagua kuionyesha dunia kuwa,Tanzania ni ya watu wote!
Oyooooooooo!!
Woyo woyo woyoooo!
asanteee!
Peeeeooooopleeeees!!!!
Pembe tatu ya utajiri wa Tanzani a umekalia kitako,lengo ni kufanya pembe tatu ya ukuaji wa kipato ikalie kitako badala ya ncha ili ule usemi wa wengi wape ukamilike.
Tutampigia kura Lowasa kwasababu ametuahidi hivyo