Mbinu mbadala ya Vifungashio ukienda kununua Mchele

Mbinu mbadala ya Vifungashio ukienda kununua Mchele

Ningeshangaa sana Ses yaani uinue shati kabisa uwekemo mchele. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna wengine kwenye shughuli za uswazi wanaweka pilau au biriani kwenye shati eti ndio masela wa kitaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Nawaza tu hii ni akili ya wapi kwani ikitokea katika kuelekea anakoelekea akajikwaa atamlaumu nani
Sasa Shadeeya wewe ulitegemea mimi nifanyeje, wakati wewe ulinipa hela kamili ya mchele hukunipa hata ya ziada ya kununulia mfuko na unajua kabisa siku hizi madukani hawatoi mifuko bure ni mpaka ununue,kwahiyo kuwa mpole tu Shadeeya. ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Hivyo mwenyewe ulijiongeza. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Saafi sana Mtani.
 
Aisee kwa hizo jezi tujiandae kwa makapu. ๐Ÿ˜Ž
Sasa Mtani vipi ushachukua jezi yako Afcon imekaribia.
Kama haipo haipo tu Mtani. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Jezi azipunguzi wala kuongeza kitu. Twende tukashiriki, kushindana tuwaachie wengine na tusisingizie jezi zetu nzuuri kabisa ambazo zimekwenda sambamba na rangi ya bendera. Teh teh teh.
 
Back
Top Bottom