Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,904
Shabiki nguli wa timu ya Kkoo akifanya shopping
😁😁😁 wasukuma yote yaoKuna mtu atanambia huyu ni msukuma...
Kuna mtu atanambia huyu ni msukuma...
Ahahah hawa jamaa tumewachokaKwani unataka kubisha!?
Akili ya kichwa cha chini.Nawaza tu hii ni akili ya wapi.
Huyu ni wa Igogwe, MwankenjaKuna mtu atanambia huyu ni msukuma...
Na kweli aiseee. Maana hapo mpaka watoto watamshangaa. Kwani vipo vya kubeba humo ila si huo mchele.Akili ya kichwa cha chini.
TFF hawajui tu ila rangi ya njano inawapa stress wachezajiSesten Zakazaka ,100 Likes, Sanchez magoli , Sapta Sapta, Van pebles hii si jezi yenu. Hivyo akili ya huyo mikia mwenzenu ikaishia hapo. Aiseee.
Ama kweli wacha TFF watengeneze jezi ya Ugenini zenye ile njano. 😂😂😂😂
Umefanya nimecheka kwa sauti. Haya na huyo mbebaji wa mchele naye unamzungumziaje?TFF hawajui tu ila rangi ya njano inawapa stress wachezaji
Acha jamaa akuze brand ya chamaSesten Zakazaka ,100 Likes, Sanchez magoli , Sapta Sapta, Van pebles hii si jezi yenu. Hivyo akili ya huyo mikia mwenzenu ikaishia hapo. Aiseee.
Ama kweli wacha TFF watengeneze jezi ya Ugenini zenye ile njano. 😂😂😂😂
Hahahaaaa huyo mbeba mchele huyoo dah! Ila mbunifuUmefanya nimecheka kwa sauti. Haya na huyo mbebaji wa mchele naye unamzungumziaje?
Sesten Zakazaka ,100 Likes, Sanchez magoli , Sapta Sapta, Van pebles hii si jezi yenu. Hivyo akili ya huyo mikia mwenzenu ikaishia hapo. Aiseee.
Ama kweli wacha TFF watengeneze jezi ya Ugenini zenye ile njano. 😂😂😂😂
Hapana nakataaHuyu ni wa Igogwe, Mwankenja
Ajali kazini[emoji23][emoji23]Nawaza tu hii ni akili ya wapi sababu nawaza katika kuelekea anakoelekea ikitokea kajikwaa.
Anaitwa Lwitiko Samwalyema, kwao ni jirani tu na hapo hospitalini na hiyo Picha ni Mimi niliyempigaHapana nakataa
Ndagha malafyaleAnaitwa Lwitiko Samwalyema, kwao ni jirani tu na hapo hospitalini na hiyo Picha ni Mimi niliyempiga