Mbinu mbadala ya Vifungashio ukienda kununua Mchele

Mbinu mbadala ya Vifungashio ukienda kununua Mchele

Hahahah hiyo akili inaakisi kile kinacho tokea nchini na kutoa majibu ya kwanini mpaka hii leo CCM bado inatawala nchi
Nawaza tu hii ni akili ya wapi kwani ikitokea katika kuelekea anakoelekea akajikwaa atamlaumu nani
 
Kama haipo haipo tu Mtani. 😀😀

Jezi azipunguzi wala kuongeza kitu. Twende tukashiriki, kushindana tuwaachie wengine na tusisingizie jezi zetu nzuuri kabisa ambazo zimekwenda sambamba na rangi ya bendera. Teh teh teh.
Ingawa kuna rangi za bahati kama nyekundu au nyeupe😃😃😃
 
Watu wa mjini ndio wanaona ajabu ila sie wa bush tumezoea. Miaka hiyo mifuko ya plastic ilikuwa ni anasa, mama akiwa huko shambani anapitia mahindi anaweka kwenye kitenge anawaletea mnachoma saafi...
Mkuu mahindi ni sawa wote tumekulia huko na nikawaida ila huu mchele
 
Back
Top Bottom