Utaweza push up kwenye kokoto
Utaweza kulala polini week6
Utaweza kutembea na viporo vya ugali kwenye mfuko wa kombati
Utaweza kuoga mtoni bila sabuni
Utaweza kutembelea kiwiko cha mikono Mita200
Utaweza kuitunza silaha siku zote za mafunzo
Utaweza kwata LA jasho na damu
Anyway njoooo
Naomba kuuliza aisee!!k
Kwa JWTZ
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
- Awe hajaoa/hajaolewa
- Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
- Awe na tabia na mwenendo mzuri
- Awe na akili timamu na afya nzuri
Masharti ya Utumishi
- Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
- Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa
- Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).- Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Kwa kweli utaratibu huo sifahamNaomba kuuliza aisee!!
Kuna vijana walioenda JKT kwa mujibu wa sheria,
Na sasa wanamalizia chuo/degree,
Mtu akitaka kurudi jeshini (jwtz) afuate utaratibu gani?
Hili swali hata wale wajuaji wa kila kitu wanaogopa kulijibu.Naomba kujua kuhusu wale walioenda kama mujibu wa sheria miaka ya nyuma wanaweza kuomba tena kujitolea maana katika tangazo linasema asiwe amepitia mafunzo ya jkt na pia kupita jkt miaka ya nyuma ni kupoteza sifa ya kujiunga na jkt .....nawasilisha
Tattoo ni marufuku. Vikivu vukivu vidogo sawa. Sio kovu la panga. Upasuaji.Makovu na tatoo vipi
Aombe...kama wengine wanavyoomba....sheria haiwakataziNaomba kuuliza aisee!!
Kuna vijana walioenda JKT kwa mujibu wa sheria,
Na sasa wanamalizia chuo/degree,
Mtu akitaka kurudi jeshini (jwtz) afuate utaratibu gani?
Unaomba kama kawaidaNaomba kujua kuhusu wale walioenda kama mujibu wa sheria miaka ya nyuma wanaweza kuomba tena kujitolea maana katika tangazo linasema asiwe amepitia mafunzo ya jkt na pia kupita jkt miaka ya nyuma ni kupoteza sifa ya kujiunga na jkt .....nawasilisha
Kitu akiweza demu cwezi shindwa.Utaweza push up kwenye kokoto
Utaweza kulala polini week6
Utaweza kutembea na viporo vya ugali kwenye mfuko wa kombati
Utaweza kuoga mtoni bila sabuni
Utaweza kutembelea kiwiko cha mikono Mita200
Utaweza kuitunza silaha siku zote za mafunzo
Utaweza kwata LA jasho na damu
Anyway njoooo
Police ndy jeshi la kisomiHahahahahahahahaha, uofisa utausikia kwenye bomba tu.
JKT hauruhusiwi kupita mara mbili regardless ulipitia kwa mujibu au kujitolea... ila km hauamini nenda wilayani kwako onana na mshauri wa mgambo muulize.Kwa ambao tulishafungua moyo tukiwa JKT mujibu wa sheria na sasa tumemaliza chuo, utaratibu wa kujiunga tena na jeshi ukoje?
ndio maana nimesema hao jamaa wana sababu zao maalum kupanga vigezo ivyo. Hapo kwa huyo uliemsema ni kwamba katoka form 4 na kujiunga na diploma program moja kwa moja. Sasa hao jamaa kusema diploma mtu awe na miaka 23_25 wanawalenga wale vijana waliomaliza form four na kufaulu wakaingia A-level ila wakashindwa kujinga na vyuo vikuu (na hawakujiunga na JKT mujibu wa sheria) ivyo wakaamua kutumia vyeti vya form four kusomea diploma ivyo hadi kumaliza diploma wengi wao watakua around 23 to 25 yrs.vp kwa mwenye miaka 21 na ana astashahada astashahada anaweza kuapply? au ndo mpaka awe na miaka kuanzia hiyo 23
Actually mujibu wa sheria hatakiwi kurudia kozi ya jkt kujitolea wakikugundua watakutoa kabla ya kusajiliwa ila pia wanaweza kukujua na kukuachaNaomba kujua kuhusu wale walioenda kama mujibu wa sheria miaka ya nyuma wanaweza kuomba tena kujitolea maana katika tangazo linasema asiwe amepitia mafunzo ya jkt na pia kupita jkt miaka ya nyuma ni kupoteza sifa ya kujiunga na jkt .....nawasilisha
kuna jamaa alishapitia JKT kwa mujibu wa sheria alienda mlale wazee wakamtambua kupitia records za makao makuu ya JKT wakamrudisha hata kabla mafunzo hayajaanza.Actually mujibu wa sheria hatakiwi kurudia kozi ya jkt kujitolea wakikugundua watakutoa kabla ya kusajiliwa ila pia wanaweza kukujua na kukuacha