Hizi claims unazotoa ni za mtu mwendawazimu. Huwezi kusema mimi naua kwa sababu nilimuona Juma anaua. You must be crazy bitchKwani America na Nato wame pay kwa mauaji ya libya, iraq na syria hisia zetu zisituongoze zaidi angalia hoja ya msingi ya russia ya kuivamia ukraine
Putin hana mrefu atalipa ka panic hasa kasema ohh hii vita ya dunia !!Mrusi anatumia ikubwa wake kuionea Ukraine. Ukraine is a free country to do whatever it wants siyo kuambiwa wafanye nini na Urusi. Anyway Putin will pay one day for killing innocent lives!!!!
Ukraine akubali tu yaishe raia wanateseka sana
Hujajibu swali, sababu ya wao kuisaidia Ukraine ni ipi? Wanawapenda sana wa Ukraine? Au wanapenda sana haki za binadamu? Wanapenda sana sovereignity ya kila nchi? Sababu ni ipi?Wrong
Unafahamu kiwango cha fedha za Urusi na oligarchs wake ambazo tayari zimepigwa pini na zinashikiliwa na Marekani na washirika wake?Kama marekani na Nato kwa jumla hawakuwajibishwa kwa matendo maovu waliyofanya pia russia hata azibiwa popote
Mimi ni mmojawapo.mnafurahi mtu anavyoangamiza nchi ya wengine
nakazia mkuu.Mungu ibariki Russia na Rais wake na mipango yake yote ifanikiwe.
we kalale,nitakuamsha ikishaisha.Vita ikiisha mtaniambia
Huyu hapa USA baby!mnafurahi mtu anavyoangamiza nchi ya wengine
Hakuna msingi wowote hapo. Kwani Ukraine ikiingia NATO urusi anadhurika nini!!!
Halafu utakuta anajiita ' mwana demokrasia' na analaani madikteta wa huku Africa .Sjakuelewa unashangilia Taifa huru kuvamiwa na Taifa jingine kisha watu wake kuuwa, kufanywa wakimbizi, kuharibiwa majumba na miundombinuyao! Ndicho unashangilia? kama ndio hicho basi kuna ujuha mkubwa sana hapo!
Kwa hiyo Marekani akifanya hayo ndio kunampa Urusi uhalali wa kuiharibu Ukraine ?.....Marekani alivyokuwa anaangamiza Iraq, Libya na Afghanistan ilikuwa ni sawa, ila hii sio sawa?
Kwanini asipambane na hao NATO Sasa kama ni kitisho kwake ?Ni kweli watu wa Ukraine wanateseka sana ila rusia yupo kiupande wake, jilani anataka amletee majambazi jilani ya nyumba yake lazima ajitete wewe unafikili Nato waweke millitary base ukraine unazani rusia atabaki salama
Huo mgogoro ulitatuliwa kwa US kuvamia Cuba ?Afu mgogolo rusia na marekani haujaanza leo kunakipindi rusia alisogeza nyukilia cuba palikuwa hapatoshi watu wa cuba walionja joto ya jiwe sometime balance ya power lazima iwepo
Hawa jamaa siwapendi. Waliamua kuleta hela za marehemu Dr. Shika kwa bajaji. Sijui imekwamia wapi. Bado hazijafikaNi mchana wa jua la wastani kwa bongo, Bendera ya Urusi inapepea katika mji wa Kakhovka, ulioko kwenye mkoa wa Kherson nchini Ukraine. Mji huu umeshatekwa na majeshi ya Urusi na hauko kwenye majimbo ya liyojitenga.
Kama sehemu ya mapigo muhimu kwa Ukraine, Mkoa wa Kherson leo unapiga kura ya kujiunga na upande wa jimbo la Donetsk. Kura hiyo inaratibiwa kutokea Kremlin Urusi. Sasa nchi mpya ya Janhuri ya Watu wa Donetsk inazidi kupanuka baada ya juzi miji ya Rozovka, Zaporozhye kupiga kura ya kujiunga na Jamhuri ya Donetsk.
Pigo kubwa zaidi kwa Marekani nikwamba Ujerumani imesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine hii inatokana na kashfa ya Steinmeier. "According to Bild, Germany will reduce the supply of arms to Ukraine and cancel the supply of heavy weapons. Allegedly because of the scandal with Steinmeier, who was not invited to Ukraine".
Pigo la pili kubwa zaidi kwa Marekani, Leo China imezindua combora la masafa ya mbali na mafupi linalofanana na lililozinduliwa na Urusi jana, Kombora hili linaitwa YJ-22 ambalo nalo ni la kipekee ulimwenguni. Washington inaona kwamba haya mapigo ni mipango ya Beijing na Moscow na kwamba huu ni ushindi kwao
Huku Marekani ikipata pigo la kimbinu ikitazama Ukraine imebanwa pabaya zaidi baada ya msjeshi ya Ukraine na mamluki zaidi ya 1000 kunasa katika kiwanda cha Azovstal Steel ambapo Rais Putin alitaka wajisalimishe wakagoma na sasa ameagiza kiwanda kifungwe na asitoke hata nzi tu.
Hatua nyingine mbaya zaidi kwa marekani ni kwamba Jimbo la Donetsk sasa limekombolewa Putini anaendelea kulitanua ukubwa wake kutokea baharini kusini kabisa mwa Ukraine, na jimbo la Luhansk mchakamchaka umeanza leo asubuhi huku ikitarajiwa upinzani kiasi tofauti na ilivyokuwa kule kusini.
Kuonyesha sasa Urusi imeshika mpini, Leo UN kupitia katibu mkuu wake imeomba kukutana na Rais Putin kama jitihadi za kumaliza vita, Ifahamike tangu mgogoro uanze UN haijawahi kufikiria kuitisha kikao, zaidizaidi ilishadadia vikwazo na kusaidia silaha kwa Ukraine, Hatua hii imekuja baada ya Urusi kuanza kusherekea ushindi ndani ya siku 56 tangu oparesheni ianze. Moscow bado hajajibu ombi hilo, imeelekeza nguvu zake katika Oparesheni kwanza.
YN
Urusi aitake UN waiamrishe USA na marafiki zake waache kuisaidia Ukraine ndipo na wao waache kuishambulia Ukraine.Ukraine akubali tu yaishe raia wanateseka sana