environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Kila kamanda atoe elimu kwa kutumia text msg ,anglau kumi kwa week huko kijijini kwake.Atoe elimu ya hali yake kama raia wa Tanzania.Hasiogope kitu kuhusu mabadiliko.mtolee mifano .kuwa mbona Malawi wamebadilisha utawala.mbona zambia wamebadilisha utawala,mbona ghana wanabadilisha utawala.wasidanganywe na mafisadi.M4C KWA KUTUMIA SIMU SASA HIVI HATULALI KABISAAAAA.