Mbinga: CCM chali, CHADEMA kidedea

Mbinga: CCM chali, CHADEMA kidedea

chuga LEMA anakimbiza kama kawa...jibaba zima linalia jukwaani huko kerai{Bayo}
kacheza makida sana yule dingi,uroho ndio uliomponza.Rasta katimkia ulaya,yule wa kimandolu anapambana na mifugo yake,ni mkulima analisha ngombe wa maziwa,
Bayo yeye ni mpiga ukware maarufu hapa town hana hata kibanda cha nyanya.ila ni bingwa wa misele,yeye kula winga kutoka town mpaka kwa morombo ni kama kumpiga teke chura...anapiga mosele huyo sijawahi ona.
tunapita na kata zote panga pangua.
 
Weraaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaa

...Gumegume la Kimandolu..... stay tuned
...Muuza majani ya mbuzi.... Kaloleni stay tuned
...Mtembelea sori Erelai............stay tuned
....Muuza viwanja Themi .......stay tuned

Vijijini wamechachamaa chaaaaaaaaa!!!
Mujini wamechachamaa Chaaaaaaaaaaa!!!!!

Mpera mpera hata ukitembea na msukule!!!!

hahahahahaha!bonge ya single master upo wapi?njoo uingize sokon
 
Chadema a.k.a b52, inaiua ccm kiulaini. Mimi 2015 chadema HAta ikisimamisha kuku agombee kura yangu ni yao. Bora kuku kuliko ccm .....wauaji, naona kuchelewaaaa 2015
 
Cdm wameshinda kwa ushindi mwembamba, sisi tumezoea ushindi wa kishindo
 
Ni habari njema sana hasa ukizingatia kuwa huko vijijini mwamko ni mdogo sana kwani viongozi ambao wanatakiwa wafike huko wote wamekomalia sehemu chache za mjini tafadhali TUNAOMBA OPERESHENI YA VIJIJINI KWANI NDIO WAPIGA KURA WENGI WANAKOTOKA.

CC:
TUMAINI MAKENE,KITILA MKUMBO,DR WILBROAD SLAA,PROF SAFARI,MARANDO,LISU.
 
ni karibu kabisa na machimbo ya makaa yamawe...

Samahani mmeshinda uenyekiti wa kitongoji, kijiji au udiwani? Huja weka vizuri taarifa yako elezea vizuri wanaochungulia kwa nje wajue popoz bawa wameshinda nini?
 
....Mkuu Highlander sorry!!! Kuna vitu vizuri hapo Mess nije niwekeze?

ha ha ha...unataka kuwekeza polisi mess? da...we bwana unaupeo sana kibiashara. mtego mzuri sana polisi mess.
kila jioni ujue tigo uwaga wanatafuta sehemu nzuri ya kuenda kujikanda na hela za bodaboda na bajaji; trafiki nao wanatafuta sehemu kupoza jua la mchana kwa hela za daladala. sema tatizo raia wanaogopa sana polis mess sasa ivi. kwa iyo wateja si kama zamani kwenye izo mess....

ishu za kucha na meno zimearibu sana biashara ujue....ha ha ha
 
Komba mwenyewe anapumulia Mashine ! 2015 hatoki , hayuko Active , nadhani tumbo limemwelemea sana ! Hata hivyo Dhuluma aliyowafanyia walimu wa SHULE YAKE inatosha .
 
duh mazee kwa hili kuna kila dalili ya anguko la hao waliberali. ktk watu ambao ni wagumu ku believe peoples power ni watu wa mbinga kama wameliona hilo chadema wamepiga hatua. hebu fanyeni mumshangaze komba hapo mjini mbinga cku akiamka bungeni hato amini kilichotokea kwan atakua yuko naked
 
Sii Komba alisema chadema haipo mbinga?kudadeki jeuri kwisha kazi.yeye aendelee kusinzia bungeni


Kama kawa...
Akiamka usingizini hata hafuti miudenda ye anachojuwa ni kusema ''ndiooooooooo''
 
Komba mwenyewe anapumulia Mashine ! 2015 hatoki , hayuko Active , nadhani tumbo limemwelemea sana ! Hata hivyo Dhuluma aliyowafanyia walimu wa SHULE YAKE inatosha .


Na ikiwezekana 2015 apambanishwe na Lulu...
 
Kinanaaaaaaaaa!!!!lete mbili za baridi tafadhali muhudumu!!kuna habari nzuri za kuyakataa mafisadi hapa..
 
Back
Top Bottom