Mbinga: CCM chali, CHADEMA kidedea

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....

powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Sii Komba alisema chadema haipo mbinga?kudadeki jeuri kwisha kazi.yeye aendelee kusinzia bungeni

Mwongo yule huko Lituhi anakotoka CHADEMA ipo, mm nafahamu hata kijiji alichokulia.Kwani tu kijiji kimoja na hana lolote.Kule walizarau kwa sifa za kijinga eti anawambia mmemwona jakaya kaja kwa sababu yake. Wakamuuliza inasaidia nn?
 
Weraaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaa

...Gumegume la Kimandolu..... stay tuned
...Muuza majani ya mbuzi.... Kaloleni stay tuned
...Mtembelea sori Erelai............stay tuned
....Muuza viwanja Themi .......stay tuned

Vijijini wamechachamaa chaaaaaaaaa!!!
Mujini wamechachamaa Chaaaaaaaaaaa!!!!!

Mpera mpera hata ukitembea na msukule!!!!

Du! umefurai ee?
 
Mama Bhoke? Ebhu reta ire kuku yote kwenye chyungu ture!! Hawa sichui wanawaitaga Peoples Power?! Sichui Chatema noooo!! CHADEMA! Wananipa purutani kweri!! Ha haaaaaaaaaa.....
Phiipooooooooooos?!
 
Haiwezekani ngoja nitumie mamlaka yangu!Nanihii we Chagonja no we Kova ah no we Tendwa,fungia Chadomo mara moja!.Inasababisha wananchi kuacha kuwapa "kula" chama tawala na hivyo kuleta vurugu kwenye mishipa ya damu na fahamu ya viongozi wa chama tawala na serikali!si mnamuona mh Kombe halali bungeni siku hizi?!hawana adabu kabisa hawa!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....
Chadema ndiyo chanzo cha wanafunzi kufeli. By Komba msinziaji

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....

juzi Komba alijigamba bungeni kuwa kule kwao wameikataa Chadema
 
Back
Top Bottom