Mbinga: CCM chali, CHADEMA kidedea

Kuna yule kibonge na zezeta wa CCM anayekula na kwenda kulala bungeni kama ngiri, leo Presha yake itapanda sana akisikia habari hizi.

Chezea CHADEMA wewe!!
 
....LIKIFURAHI.. lazima upate uchungu..!!!! weeh... Mutoto ya Arusha lete Castle baridiiiiiiiiiiiiiiii.......

haya bwana... sehemu nzuri kupata castle baridi ingekuwa pale Police Mess. lakini kwa uhasama uliopo kati ya polisi na chadema wa arusha sijui kama pale mess panakalika! ha ha ha ha.... ohoo nimechanganya mada. sorry. Hivi Mbinga kuna police mess?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....

safi sana,ukombozi upo karibu!! Tusikate tamaa.
 
haya bwana... sehemu nzuri kupata castle baridi ingekuwa pale Police Mess. lakini kwa uhasama uliopo kati ya polisi na chadema wa arusha sijui kama pale mess panakalika! ha ha ha ha.... ohoo nimechanganya mada. sorry. Hivi Mbinga kuna police mess?
....haaaa Mkuu nani akashee glasi na makapuko kuja pande hii ya Picknic.....huku hakuna bia za mgao...
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss....

mzee wa jipu la kwapa aka father xmass wa lulu presha inapanda presha inashuka akija kuamaki chali
 
Kwi kwi kwi,chama cha ukabila bwana!kinanikosha sana,naona ukabila umeamia kwa wamatengo,kwi kwi kwi,peopleeeeees........
 
Asante sana.unajua amani makoro ni kijijini kabisa.kwa kweli naomba ccm wakodishe magari ya kuchukua mizigi yao mapema .inaweza ikawa kazi hapo 2015.pangeni mizgo mlango wa kutokea unaonekana sasa 2015 hautaonekana tena
 
haya bwana... sehemu nzuri kupata castle baridi ingekuwa pale Police Mess. lakini kwa uhasama uliopo kati ya polisi na chadema wa arusha sijui kama pale mess panakalika! ha ha ha ha.... ohoo nimechanganya mada. sorry. Hivi Mbinga kuna police mess?

....Mkuu Highlander sorry!!! Kuna vitu vizuri hapo Mess nije niwekeze?
 
This news, great news, the best of all to me for today, have indeed made my day

It does contribute in one way or another to the fact that CCM is all but out!

Believe you me!
 
Chadema inabidi wapeleke nguvu nyingi sana kusini hasa mkoa wa ruvuma. Huko mbinga, ccm inashinda maeneo mengi kiujanja ujanja tu kwa kutumia udhaifu wa wananchi kukosa elimu ya uraia, kwa kuwapa rushwa kama kanga, vipesa, na hata wali na nyama! Vinara wa mchezo huo mchafu ni komba, kayombo na viongozi wengine wa ccm!
 
Back
Top Bottom