Mbezi safarini Arusha

Mbezi safarini Arusha

naona mtu mzima anaulizia hali ya hewa sijui ni mkulima wa kahawa kule juu Umeru!!!

Miezi ya mwisho wa mwaka ni ya kuienjoy na kupiga biere tu.. Joto likiwa kali Chugga pataboa..
 
amu Karibu sana na ujisikie unakuja nyumbani! Wewe ukifika juza!

Preta
Arushaone jamani samanhanini wengine nimewasahau naja huko nitakaa mpaka jumatatu
natumai nitaonana na hata mmoja wa hapa.
Nafikia USA.Asubuhi njema
 
Last edited by a moderator:
Amu, achana na hawa wababaishaji we niambie unashukia wapi, je ni usa stand? au leganga? usafiri sio wakuuliza kimyakimya!
 
Preta
Arushaone jamani samanhanini wengine nimewasahau naja huko nitakaa mpaka jumatatu
natumai nitaonana na hata mmoja wa hapa.
Nafikia USA.Asubuhi njema

Karibu sana Arusha amu, nimeshaku pm namba zangu, afu mi nina maboga mengi hom kwangu mpaka gesti, nimeambiwa unapenda kula maboga kwa sana bibie.

Achana na st. paka mweusi huko anakokuelekeza anakupoteza lol
 
Last edited by a moderator:
We njoo usiwaze hayo makitu ya umbali Arusha vijana wametulia bhana hadi mlangoni utafikishwa vijana wapo kwa kazi hiyo yan Mungi ndio dreva wetu wa kudumu unakotaka anakupeleka faster...kama hayupo basi Mzee wa Rula huwa anajitolea amu we karibia then unaenjoe sana na jiji letu

Mkuu mwambie kabisa amu na usafiri upo tayari, tumeweka matairi mapya kwa ajili yake, hebu mwulize kwanza kama anapendelea kushare mkuu wa meza au mbuzi kwa mrombo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwambie kabisa amu na usafiri upo tayari, tumeweka matairi mapya kwa ajili yake, hebu mwulize kwanza kama anapendelea kushare mkuu wa meza au mbuzi kwa mrombo

ahaa....ndio yale BFGoodrich uliyopita nayo jana.....halafu mjomba nimekukumbuka......umerudi bila kuniona.....
 
Back
Top Bottom