Mbezi Louis: Polisi wamewagonga watembea kwa miguu waliokuwa wanavuka barabara.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,977
6,632
Ajali imetokea leo tarehe 24/09/2021 muda 11:30Hrs eneo la Mbezi Louis karibu na kituo cha Kibanda cha Mkaa kwenye Zebra.
20210924_113851.jpg
20210924_113853.jpg
20210924_113840.jpg
20210924_113938.jpg
20210924_113922.jpg
 
hiyo barabara kugonga watembea kwa miguu ni jambo la sekunde tu..Yale mawe na mapipa waliyoweka yanamfanya dereva kutowaona vizuri watembea kwa miguu wanaotaka kuvuka barabara...unashitukia tu watu wameshaingia road..kama vp wamalize hiyo road waondoe hayo makitu. Na pia why people hawatumii kivuko cha juu?
 
Pale kibanda cha mkaa kwani wamejenga kivuko cha juu?
 
Sipati picha hapo ndio ingekua gari ya private imegonga hao watu. IGP lazima angeitisha press kuwatolea shombo na povu la kutosha maderava wa magari binafsi.

"Nyie maderava wa magari binafsi, hivi hamuoni alama za barabarani kweli? Mnaendesha kwa kuvunja sheria za barabarani hovyo, watu wanavuka kwenye zebra unakwenda kuwagonga, unaona kibao cha STOP unakwenda spidi. Ina maana hamuoni alama za barabarani? Au mnataka mpate sababu ya kuwasema vijana wangu wa polisi na ma trafic kwamba ni wakorofi kwa maderava" - HAIJIPII ZERO.
 
Polisi, madhambi yote yao. Wabambikie wat kesi, waue, walete ajali kwenye Zebra..... halafu Siro nawatetea
 
hiyo barabara kugonga watembea kwa miguu ni jambo la sekunde tu..Yale mawe na mapipa waliyoweka yanamfanya dereva kutowaona vizuri watembea kwa miguu wanaotaka kuvuka barabara...unashitukia tu watu wameshaingia road..kama vp wamalize hiyo road waondoe hayo makitu. Na pia why people hawatumii kivuko cha juu?
Mkuu, mbezi.... Kibanda cha mkaa kuna kivuko cha juu?
 
Back
Top Bottom