Mbezi Louis: Polisi wamewagonga watembea kwa miguu waliokuwa wanavuka barabara.

Pale kibanda cha mkaa kwani wamejenga kivuko cha juu?
Kuna siku nipo Morogoro safari ya masafa marefu nikakamatwa kwa madai kuwa nime - Overtake kivukoni, Nikauliza kivuko chenyewe kipo wapi ndipo nikajuzwa kwamba Zebra kwao ni Kivukoni
 
Alafu pembeni mwa eneo hili walikuwepo askari 3 ndani ya gari wakiwavisia wasiosimama kwenye zebra, nashangaa huyu mwenzao mpaka sasa hana pingu mikononi
hiyo barabara kugonga watembea kwa miguu ni jambo la sekunde tu..Yale mawe na mapipa waliyoweka yanamfanya dereva kutowaona vizuri watembea kwa miguu wanaotaka kuvuka barabara...unashitukia tu watu wameshaingia road..kama vp wamalize hiyo road waondoe hayo makitu. Na pia why people hawatumii kivuko cha juu?
 
hiyo barabara kugonga watembea kwa miguu ni jambo la sekunde tu..Yale mawe na mapipa waliyoweka yanamfanya dereva kutowaona vizuri watembea kwa miguu wanaotaka kuvuka barabara...unashitukia tu watu wameshaingia road..kama vp wamalize hiyo road waondoe hayo makitu. Na pia why people hawatumii kivuko cha juu?
Daah upo daslm
 
Ni leo tu nilikuwa najitafakari namna askari wanavyovunja sheria za barabarani wakati mwingi bila hata sababu ya msingi. Overtaking za kijinga tena maeneo hatari kabisa, wao ni kama sheria za barabarani haziwahusu kabisa. Jeshi linapokosa kuongozwa na kutii sheria na kanuni hegeuka na kuwa genge la wahalifu. IGP achukue hatua kabla hatujachelewa sana
Askari jitafakalini mienendo yenu
Jamii inawachukia sana
 
Sipati picha hapo ndio ingekua gari ya private imegonga hao watu. IGP lazima angeitisha press kuwatolea shombo na povu la kutosha maderava wa magari binafsi.
IGP ataita press na kusema polisi walikuwa wakimkimbiza kijana mkorofi kama Hamza, hivyo ni tukio la bahati mbaya.
Lahaullah ingekuwa driver wa daladala kauwa watu kwenye kivuko cha pundamlia/zebra press ingeitwa na kuwaita madereva wote wahuni
 
Habari Hii Ina hanya hanya haijatimia mtoa mada ananyamba Moshi na wakati hali Kuni ?
Aje amalizie hapa je Kuna vifo,Majeruhi au?
 
Polisi ni watu wa hovyo sana, kuna gari ya polisi ilinigonga pale ushirika towers, eti yupo katikati ya barabara anageuza gari hapo hapo... failures wakubwa hawa, halafu wanakwambia tuna haraka..kama vipi kashitaki.

Hovyo sana hawa nguchiro!
 
Police wengi ni washenzi,jana tu kuna walimpush dada wawatu mtatoni pale Kibaoni Tegeta kabla ya mataa,halafu hawakusimama
 
Polisi, madhambi yote yao. Wabambikie wat kesi, waue, walete ajali kwenye Zebra..... halafu Siro nawatetea
Kazi ya polisi ni kulinda usalama ww viongozi na mali zao, kwa kuwashughulikia wananchi wahalifu. Kazi hiyo imewashinda baada ya kupewa kazi mpya na CCM. Chama cha siasa kina wajibu wa kujinadi na kukubalika na kutekeleza ahadi zake. CCM imeliagiza jeshi la polisi kuwashughulikia wote ilioshindwa kuwavutia na sera zake. Unatakiwa kuwa makini.
 
Back
Top Bottom