cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,932
- 202,196
Shemuu wee nae, mambo mengine usiyafuatulie bhana. Yaache km yalivyo.Haya mambo ya kutetea hawa ndio yanakera, sema kwa kuwa umeshakua shemeji ngoja nikae kimya tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]