Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,100
Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.

1769002946765.png

1769003003603.png

1769003052737.png
 
Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.
Halafu wakipata ajali watu tuache kufurahi kweli? Nawachukia sana mapolisi wa ccm.
 
Huyu OCD anaitwa Christopher Msonsa, ambaye ni OCD wa Wilaya ya Kipolisi Mbalizi.

OCD Huyu ameshusha Bendera za CHADEMA Siku ya Leo ,ambayo ni Siku ya Kumbukizi ya Miaka 33 ya kuanzishwa kwa Chadema. Jambo hili ni kinyume na Sheria za nchi yetu. Nadhani Huyu anatakiwa awe mfano wa MaOCD nchi nzima,ili waweze Kuheshimu Haki za Kisiasa Nchini!!.

Jeshi la polisi sio jeshi la samia au la kosiasa au la CCM huku ni kuvuka mipaka na huu ni upumbavu haukubariki na lazima atawajibika.

FB_IMG_17690043171573582.jpg
 
View attachment 3532626
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Polisi wameasi majukumu yao
Wakuu, twende mbele, na turudi nyuma. Vipi ile hukumu iliyotolewa kuhusu CHADEMA kutofanya shughuri zake, ilishafutwa? Kama bado ipo, basi polisi walikuwa sahihi. Ile hukumu ni halali, lakini sio ya haki. Cha msingi, ni kuipigania hiyo haki kwa nguvu zote, lakini kwa kufuata njia zilizowekwa!
 
Back
Top Bottom