Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

Tukiwasema polisi akili hawana, huu ndio moja ya ushahidi.

Wanaliabisha jeshi la polisi. Makamishina msiendekeze hizi mambo. Kemeeni kulinda heshima ya jeshi.
Wanatumiwa na Wanasiasa. Polisi ni Taasisi ambayo haijaweza kujitegemea. Kidogo JWTZ wana mfumo unaeleweka. Polisi ni UVCCM kwenye Magwanda ya Serikali
 
Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.

Hata kama mtu huna time na mambo ya siasa hapa ndo Kuna mambo yanaanzaga kuuma
 
Wakuu, twende mbele, na turudi nyuma. Vipi ile hukumu iliyotolewa kuhusu CHADEMA kutofanya shughuri zake, ilishafutwa? Kama bado ipo, basi polisi walikuwa sahihi. Ile hukumu ni halali, lakini sio ya haki. Cha msingi, ni kuipigania hiyo haki kwa nguvu zote, lakini kwa kufuata njia zilizowekwa!
Hakuna hukumu ya kuzuia CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa.
 
Muulize atakupa siri.Anabanduliwa vizuri.Umenitukana sasa hakuna ustaarabu.Tatizo muambie mama yako anyoe mavuzi.
Nasema hivi, 🌈 na mama yangu wapi na wapi?
 
Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.

Duh,
Hawa wahuni polisiccm wamekuwa waovu na waonevu kuliko wakoloni weupe wa kabla ya uhuru
 
Wakuu, twende mbele, na turudi nyuma. Vipi ile hukumu iliyotolewa kuhusu CHADEMA kutofanya shughuri zake, ilishafutwa? Kama bado ipo, basi polisi walikuwa sahihi. Ile hukumu ni halali, lakini sio ya haki. Cha msingi, ni kuipigania hiyo haki kwa nguvu zote, lakini kwa kufuata njia zilizowekwa!
Wajinga hao akili zao zipo makalioni kwa Lissu.
 
Mbona wananchi hawapo hapo maana naona kikundi cha nyumbu 10 TU.
 
Ni wapi hamuelewi kwa sasa kuna pingamizi mahakamani kwa chadema kufanya siasa?
Ni mpaka washinde kesi yao ndio pingamizi litatolewa kuruhusiwa kufanya shughuli zao
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Achano na punga hilo DL la JF tunamjua wewe angalia mara anaweka ile flag ya color code, punga mbobevu
Sikuwa najua kumbe ni punga mbobevu.Anaweka code ili afirwe.
 
Nasikia kuna vurugu zimetokea kwenye machimbo kule msasa geita asbuhi ya leo na polisi mmoja ameuwa.

Kama ni kweli basi ni jambo jema!
 
Back
Top Bottom