Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.
Hicho chama kimeminywa mno..
CHADEMA NI TISHIO KUBWA SANAKatika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.
Polisi ni moja ya jumuia za CCM kama zilivyo UVCCM, UWT na BAKWATA.Polisi wamekuwa chama cha siasa?
Kwamba hawaruhusiwi hata kukumbuka kuanzishwa kwa chama chao? Literally you mean hawaruhusiwi hata kualikana lunch au picnic?Wakuu, twende mbele, na turudi nyuma. Vipi ile hukumu iliyotolewa kuhusu CHADEMA kutofanya shughuri zake, ilishafutwa? Kama bado ipo, basi polisi walikuwa sahihi. Ile hukumu ni halali, lakini sio ya haki. Cha msingi, ni kuipigania hiyo haki kwa nguvu zote, lakini kwa kufuata njia zilizowekwa!
Hii nchi ina polisi wapumbavu sana!Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chadema mkoani Mbeya, kulipangwa kufanyika uzinduzi wa tawi la chama katika Kata ya Inyala pamoja na bonanza la kumbukizi. Hata hivyo, wakati wa uzinduzi wa kijiwe hicho, Polisi wakiongozwa na OCD wa Mbeya Vijiji walifika wakiwa na magari, wakawatawanya wananchi waliokuwa eneo la Stand ya Inyala na kuwakamata Masaga Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Elisha Chonya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya pamoja na wanachama wengine.
Tulia we mchepuko wa Abdul. Zama za kulazimisha ccm kukubalika zimeshapita.Andamaneni manyumbu.
Mkuu, si umeona hata vikao vidogo tu, wanashindwa kuvifanya kwa kukusanyika kwa pamoja, inabaki kufanyanywa kwa njia ya mitandao tu!Kwamba hawaruhusiwi hata kukumbuka kuanzishwa kwa chama chao? Literally you mean hawaruhusiwi hata kualikana lunch au picnic?
Nasikia wanataka kuwazuia pia kushiriki mazishi ya Mzee Mtei.Mkuu, si umeona hata vikao vidogo tu, wanashindwa kuvifanya kwa kukusanyika kwa pamoja, inabaki kufanyanywa kwa njia ya mitandao tu!
Hii inatia doa chama chetu na kuifanya chadema kuzidi kupendwaWakuu, twende mbele, na turudi nyuma. Vipi ile hukumu iliyotolewa kuhusu CHADEMA kutofanya shughuri zake, ilishafutwa? Kama bado ipo, basi polisi walikuwa sahihi. Ile hukumu ni halali, lakini sio ya haki. Cha msingi, ni kuipigania hiyo haki kwa nguvu zote, lakini kwa kufuata njia zilizowekwa!
Nyie chama chenu kilishakata moto muda mrefu, mbeleko ya dola ndio inawasogeza kwa tabu sana. Lakini muda hauko upande wenu tena. Ni suala la muda tu vyombo vya dola vitagoma, wanaojitutumua sasa ni ili waachiwe wale rushwa, sio zaidi ya hapo.Hii inatia doa chama chetu na kuifanya chadema kuzidi kupendwa
Hawajakatazwa kufanya shughuli zao. Mahakama iliwakataza kutumia mali za chama. Ikiwemo Ofisi, Magari, Komputa nk.Wakuu, twende mbele, na turudi nyuma. Vipi ile hukumu iliyotolewa kuhusu CHADEMA kutofanya shughuri zake, ilishafutwa? Kama bado ipo, basi polisi walikuwa sahihi. Ile hukumu ni halali, lakini sio ya haki. Cha msingi, ni kuipigania hiyo haki kwa nguvu zote, lakini kwa kufuata njia zilizowekwa!