Mbeya ni mkoa ambao upo exploited na CCM

Mbeya ni mkoa ambao upo exploited na CCM

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,953
Reaction score
16,322
Inawezekanaje mkoa unaochangia mapato makubwa kuliko Dodoma una miundombinu duni hivi?
Ni important Region kwenye uchumi wa Tanzania lakini barabara zake ni mbovu sana hususani mitaani, hakuna barabara za lami
Nilikuwa Dodoma, nimeona kuna sehemu ambazo hata hazipo busy zimewekewa njia nne tayari. I mean ni vizuri kuona Dodoma ina infrastructure vizuri ila Mbeya inahitaji same treatment pia. Sawa sio makao makuu ya nchi, lakini ina mchango mkubwa kwa taifa kuliko mkoa wa Dodoma
Why serikali haiipi Mbeya attention it deserves?
PXL_20260319_102742606.jpg
 
Kanda ya juu kusini na kusini enyewe zimetengwa ktk kufaidi keki ya Taifa hili, ila hizi kanda ndio zinanyonywa nguvu ktk uzalishaji wa Taifa hili.
 
Your claims are legitimate!
Lets go back into the drawing board and see the best we can do for Mbeya.
I have been there since 1998, when I came to school. Returned there later when I was working as a zonal manager, walked in every street of Mbeya urban, gone from Kyela, Mbarali to Chunya to seek sales. So I know Mbeya very well.
 
MBEYA ime nyonywa vya kutosha!.
Tangu enzi na enzi naona wa ikulu hawaipi kipaumbele...
Mbona wenzao wa Dar tuna zalisha na tuna pewa kipaumbele.?

Wamepewa spika-IPU, Naye ameishia kulamba miguu..

Suluhisho la hili ni serikali ya Majimbo.
 
Inawezekanaje mkoa unaochangia mapato makubwa kuliko Dodoma una miundombinu duni hivi?
Ni important Region kwenye uchumi wa Tanzania lakini barabara zake ni mbovu sana hususani mitaani, hakuna barabara za lami
Nilikuwa Dodoma, nimeona kuna sehemu ambazo hata hazipo busy zimewekewa njia nne tayari. I mean ni vizuri kuona Dodoma ina infrastructure vizuri ila Mbeya inahitaji same treatment pia. Sawa sio makao makuu ya nchi, lakini ina mchango mkubwa kwa taifa kuliko mkoa wa Dodoma
Why serikali haiipi Mbeya attention it deserves?
View attachment 3697469
Serikali kama kuna kitu tumewakosea mtuambie siyo kututelekeza namna hii
 
Kanda ya juu kusini na kusini enyewe zimetengwa ktk kufaidi keki ya Taifa hili, ila hizi kanda ndio zinanyonywa nguvu ktk uzalishaji wa Taifa hili.
Sahihi. Ninashangaa sana mkoa wa Mbeya una GDP kubwa kuliko Zanzibar kiujumla na bado miundombinu ipo duni sana. CCM wameitenga Nyanda za Juu Kusini mbwa hawa
 
Back
Top Bottom