WAGUMU kufa-mbeya (Mwakyembe, Ulimboka.......Mwangosi-bahati mbaya alilipukiwa na kitu chenye ncha kali).....Chai bora-mbeya, kahawa bora-mbeya....ni mbeya mbeya mbeya mbeya kila kitu
akina atombile mwakitako wanapatikana pia mbeya
Mwandosya uemsahau....!!
bwana kova hakumkata jombi kweli??Said Abinala a.k.a Jombi alifungwa baadaye akatoka,jamaa laishindikana kabisa huyu Mbeya na nadhani katika maisha yake hatamsahai Ex RPC wa Mbeya Laurian Sanya...Jombi aliishika sana Mbeya jamani nakumbuka Ex RPC wa Mbeya mzee Yohana Mapunda alistaafishwa kwa manufaa ya umma mojawapo ya sababu ikiwa ni kumkumbatia huyu Jombi
MwajumaMwandenga
Mwaipopo
Mwakasanga
Mwakamba
Mwakatage
Mwainunu
Mwaibambe
Mwa...mwa...mwa
*taaarifa= taarifataharifa = taaarifa
Nadhani walifunga kile kiwanda wale jamaa. Sijawasikia tena. Ngoja tuwaulize walio Mbeya, watatupa majibuMara yakwanza kugusa mbeya mzee wangu alinikabidhi sime,vipi MWAMBA bado upo,nipombe flan ilikua inatengenezwa hapo iwambi nafkir,poteza watu sana hiyo pindi inaingia,but mbeya ipo vizuri matukio mengine watu walipaisha tu,mm nimeishi mbalizi hapo kwa amani tu,
Mkuu umenichekesha sanaNasikia eti Mbeya ni nchi, rais wao ni Sugu.
Nasikia rais huyo sifa yake kuu ni kuwapa 'dole la kati' masnitch wote popote pale awapo.
-Kaveli-
Daa home kwetu bana,mic sn homeland.Nasikia eti Mbeya ni nchi, rais wao ni Sugu.
Nasikia rais huyo sifa yake kuu ni kuwapa 'dole la kati' masnitch wote popote pale awapo.
-Kaveli-
Kabisa ba hujakosea.......Vipodozi vingi vinapatikana Mbeya maeneno ya tunduma.
Kuna ndizi mbivu ndogo ndogo tamu sana zinapatikana Mbeya.