Mbeya: Mtoto aliyezikwa jana akutwa chumbani kwake mara baada ya mazishi

Picha zinasambaa whatsapp, za kaburi lilivyofukuliwa na sanduku lilivyofunuliwa. Nimezipakua, ila naogopa kuziweka hapa
 
Nasikia ni kuwa yawezekana mwili waliusahau ndani kuuweka kwenye jenezaa na wakati wa kwenda kuzikaa hawakuwenda kuuaga kwa kuuangaliaa
 
Download appl ya mbeyayetu wanaweka aupdates kule namin nimetoka mjini kwa sasa ambako mambo haya yalikuwa yanendelea
 
ni mwakala wa shetani:D:D:D:D:D
kuchuna ngozi wao
albino wao
wachawi wao
makanisa wao ghrrrrrrrrrrrrr

nina mpenzi wa huko nawazia kumpiga chini hahaha maana nahisi maisha yangu yako matatani............hahaha uwii im just jocking kipenzi najua unaniaona
Utulie tu maana najua ukibisha sana utajikuta ulelala katkati ya mto
 
Lakini kiuhalisia mambo ya mzba asa kwny inshu ya mait kuna kuwa na watu muhin na inshu sensitive kdogo so swala la kusahau maiti iyo ni kali ya kufungulia mwaka mnaazaje kwa mfano
Imagine ndo wanatoka Dar-Bukoba alaf maiti wameisahau Dar
 
Jamani hapa tunapunguza lugha kwakuwa sheria ya ushiikina ya mwaka 1920's ilishapitwa na wakati , kwa ujumla suala hili lipo beyond normal eyes!!!! Yaliyotokea pale hata polisi wameshindwa kutoa maelezo baada ya kufukua, kuhusu kusahau mwili wa marehemu manake wakati wa kuaga mwili hivi kweli walikuwa wanaona nini kwenye sanduku?? Fuluu mauza uzaa
 
Back
Top Bottom