milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Maiti ipi imesahaulika? ? Mtoto amekutwa kalala na akaamshwa na kuongeaSasa mkuu unakutaje maiti kaburini wakati wameisahau nyumban
Maiti ipi imesahaulika? ? Mtoto amekutwa kalala na akaamshwa na kuongeaSasa mkuu unakutaje maiti kaburini wakati wameisahau nyumban
Mhmhmh au walikuwa wapiga dili wakaona wapige dili LA kifo ili wapate rambirambiAkuna mwenye kumbukumbu mwili ulioshwa na kuwekwa wap? na jeneza lilikuwa wapi? Na uzito wa jeneza likiwa empty na likiwa na kitu mtaona uzito au mtikisiko sasa wanamsahau wapi ?
wapiga dili ao wamekula hela ya rambirambiMhmhmh au walikuwa wapiga dili wakaona wapige dili LA kifo ili wapate rambirambi
Mbeya Mungu hataniwi mtapata mnachokitaka
Mkuu naona sasa mjini mipango ila hii sijaipenda hata kidogowapiga dili ao wamekula hela ya rambirambi
Hebu nisimulie kidogo walivyokurogatukisema wanyakyusa wachawi mnabisha aya sasa
Unajuaje ni Mnyakyusa? Mbeya ni mji na yanaishi makabila yote ya nchi hii. Wamalawi, Wakongo, Wazambia...nk, wapo pia.tukisema wanyakyusa wachawi mnabisha aya sasa
Wanavyodai yupo haiSwali langu , huyo mtoto yupo hai hadi sasa?
"Watu" walimeza sauti yake, akawa anaongea hewa tu.Alikutana na nini?