Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,953
- 93,684
Bora akae magereza kuliko angepotezwaKada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Pia soma:
1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri Mkutano wa CHADEMA na Wanahabari, Mdude Nyagali awadai Polisi fidia ya Mil 500 - JamiiForums
2). Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika - JamiiForums
3). Mdude Nyagali kufungua kesi mahakamani kwa hati ya dharura kuhusu pesa za wahanga tetemeko Kagera - JamiiForums
4). John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) - JamiiForums
5). Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4 - JamiiForums
6). Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii - JamiiForums
Huwa napenda hako ka fashion ka kushikilia maji ya kilimanjaro mahakamani na pingu. Sijui huwa ni kutafuta huruma!Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.
Pia soma:
1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri Mkutano wa CHADEMA na Wanahabari, Mdude Nyagali awadai Polisi fidia ya Mil 500 - JamiiForums
2). Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika - JamiiForums
3). Mdude Nyagali kufungua kesi mahakamani kwa hati ya dharura kuhusu pesa za wahanga tetemeko Kagera - JamiiForums
4). John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) - JamiiForums
5). Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4 - JamiiForums
6). Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii - JamiiForums
Aseme kwanza ile 1.7m aliitumiaje kabla hajafikiriwa kupewa donge nono zaidi.Intelligence system yeyote huwa na kitengo maalum Cha measurements & evaluation.
Hii mbinu "Death and Disappearance"
Isitumike ndivyo sivyo Kuna mbinu nyingine nyingi za kudili na threat
Mimi na uhakika na watu wengine wengi tuna uhakika MDUDE NYAGALI kachomekewa madawa....
Niliwai kucomnent kweny account ake kumshauri kuhusu matumizi ya LUGHA na Aina ya harakari anazofanya....
Najua TAARIFA utakua mmemfikia Mkuu wa nchi najua Rais yeye anajipambanua kama mtetezi wa Wanyonge atoe agizo kwa watu wake wachunguze Mara moja.....
Kama Ni upuuzi wafute hili jarada.
WAKATI mwingine vijana wengine wanakua radical kwasababu ya ukosefu wa ajira za kueleweka
Nchini UNAKUTA Ina WAHITIMU kibao wa wa vyuo vikuu hawana ajira Mwaka wa tano Sasa na alisoma kwa bidii na kuaminishwa atapata ajira....
"PENGINE SULUHISHO LA MDUDE NYAGALI NI KUPATIWA AJIRA YA UHAKIKA NA SERIKALI"
Maana Mfumo wa elimu YETU nchini Umeshindwa kuwapatia vijana skills za kuwawezesha kujiajili nacho jua tuliwaandaa kuajiliwa.
Kina mdude wapo wengi Sana hili Ni bomu
Free mdude tusipoteze rasilimali za taifa
Kuna maudhui ya mabandiko ya mdude huwa yanakela Sanaaaa kutokana na lugha anayo TUMIAAseme kwanza ile 1.7m aliitumiaje kabla hajafikiriwa kupewa donge nono zaidi.
... swali la kipumbavu kabisa!Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Polisi wanatumika kibwege sana !Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.