Mbeya-Mkoa unaolima kahawa lakini hawanywi kahawa

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,116
Reaction score
5,119
Nipo Mbeya.
Nimeitafuta kahawa ya mtaani na hata coffee shop zijaona.
Nimedadisi mno na mwisho nimeambulia jibu la kuwa hapa ni "Pombe kwa kwenda mbele",hawana habari na kahawa.
Wajasiriamali watusaidie kutambulisha unywaji kahawa Mbeya.
 
Mkuu tofautisha chai na kahawa...

Mbeya wanalima chai,

Labda utaje maeneo hayo yanayolima kahawa,

NB,
Uzi wako hauna mantiki,umekaa kiudhalilishaji na kiuchokozi tuu
 
Kahawa inalimwa Mbozi afu kwa kiwango kidogo sana . Lakini kuna chai inalimwa kwa wingi wilaya ya Rungwe .nazan apo ni mapenz tu ya watu katika matumiz wanapenda kutumia nin either chai or kahawa
 
Anamaanisha Ile kahawa inayouzwa vijiweni au inayotembezwa na wagogo si inayotumika kama kifungua kinywa.
1082999

1083000

1083001
images(5).jpg
 
Mkuu tofautisha chai na kahawa...

Mbeya wanalima chai,

Labda utaje maeneo hayo yanayolima kahawa,

NB,
Uzi wako hauna mantiki,umekaa kiudhalilishaji na kiuchokozi tuu
Samahani,si kuwa na nia ya kumdhalilisha yoyote.Na kama ni unywaji wa pombe nimeweka alama za mabano kuonyesha kuwa ni qoute toka wenyeji.Vipi kuhusu fursa ya kufungua coffee shop,napo nimedhalilisha?
 
Nipo Mbeya.
Nimeitafuta kahawa ya mtaani na hata coffee shop zijaona.
Nimedadisi mno na mwisho nimeambulia jibu la kuwa hapa ni "Pombe kwa kwenda mbele",hawana habari na kahawa.
Wajasiriamali watusaidie kutambulisha unywaji kahawa Mbeya.
Kwa Geography yangu ndogo kahawa inalimwa Kilimanjaro na kagera. Chai inalimwa njombe, mbeya, iringa na lushoto
 
Mkuu tofautisha chai na kahawa...

Mbeya wanalima chai,

Labda utaje maeneo hayo yanayolima kahawa,

NB,
Uzi wako hauna mantiki,umekaa kiudhalilishaji na kiuchokozi tuu
Mkuu tofautisha chai na kahawa...

Mbeya wanalima chai,

Labda utaje maeneo hayo yanayolima kahawa,

NB,
Uzi wako hauna mantiki,umekaa kiudhalilishaji na kiuchokozi tuu
Rungwe pia tunalima sana Kahawa. Sema ulimaji wetu hatuyatengi mashamba ya Kahawa pekee bali huwa tunailima ndani ya mashamba ya migomba lakini tunapata nyingi sana.
 
Samahani,si kuwa na nia ya kumdhalilisha yoyote.Na kama ni unywaji wa pombe nimeweka alama za mabano kuonyesha kuwa ni qoute toka wenyeji.Vipi kuhusu fursa ya kufungua coffee shop,napo nimedhalilisha?
Tupo very active huku hatuhitaji kuchangamshwa na kahawa, chai inatosha sana. Kahawa tunalima kwa ajili ya kujiongezea kipato tu.
 
Nipo Mbeya.
Nimeitafuta kahawa ya mtaani na hata coffee shop zijaona.
Nimedadisi mno na mwisho nimeambulia jibu la kuwa hapa ni "Pombe kwa kwenda mbele",hawana habari na kahawa.
Wajasiriamali watusaidie kutambulisha unywaji kahawa Mbeya.
Mkuu sio kahawa tu, hata fiasi fya kutengenesea chipsi tunafilima sisi watu wa mbeya lakini hatufili wanafira watu wa Dar.
 
Mbeya inalimwa kahawa sana miaka ya nyuma baada ya kahawa kushuka bei soko la Dunia ndio wengi wakaamua kukata kahawa na kupanda vitu vingine,Mimi nimenunua kahawa Rungwe,Ileje na Mbozi tulikua tulikua tunapeleka kiwandani Mbozi kipindi hicho ndio niliipa heshima Land Rover 110 maana inapanda na kushuka mlimani na gunia 10 tena zisizokauka mpaka unapozikusanya na kuzipekeka kiwandani Mbozi kwa roli hakuna kijiji niliacha kupita huko Rungwe na Ileje...
 
Mkuu tofautisha chai na kahawa...

Mbeya wanalima chai,

Labda utaje maeneo hayo yanayolima kahawa,

NB,
Uzi wako hauna mantiki,umekaa kiudhalilishaji na kiuchokozi tuu
Kahawa inalimwa mkoa wa songwe sio mbeya

Ileje na mbozi ndio wilaya zinazo Lima kahawa kwa wingi

Kwa sehemu ya kunywa kahawa ni kuwa sehemu wanazo Lima ukienda unapewa kahawa kama chai ya asubuhi

Na si kama ilivyo kahawa ya kuzungushwa na birika mchana kutwa kwa watu wa ukanda wa pwani
 
Samahani,si kuwa na nia ya kumdhalilisha yoyote.Na kama ni unywaji wa pombe nimeweka alama za mabano kuonyesha kuwa ni qoute toka wenyeji.Vipi kuhusu fursa ya kufungua coffee shop,napo nimedhalilisha?
Pombe mbeya hawanywi kwa kiwango kikubwa
 
Back
Top Bottom