N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,269
- 12,691
Ni kweli gwandumi si tulikatamo baada ya soko kudorora tumewaachiamo ndugu zetu wa kumbozi renga nikurenge!Aaaah gwa kaja
Sivutii kwetu ila kwa sasa kahawa upande wa rungwe imepungua sana kwa vijiji unavyo taja kuna watu wengi wamebaki na migomba tu na kahawa inajifia