Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

CCM ukabila na udin ndo sera kuu. kwan TZ si kwa kila raia bila kujari kazaliwa mkoa gan. kama ni kabila lako umchague wewe si hayo mambo hatutaki usimvurugie kijanawako
 
Hawa mbuzax walikua wawili,mdogo na mkubwa. Walianza kujulikana kwa kuwa na vyombo vya muziki wakikodisha na kupigisha disco maeneo mbalimbali ya Mbeya town enzi hizo.kijiwe chao kilikua Mitaa ya Soweto karibu ya Moondust na Nkwezuru. Sasa niambie ni kaka mtu au mdogo mtu ndio huyo anataka kugombea na Sugu nimthaminishe hapa!?
 
nyie hamuijui mby hats ulete jk hatamshinda sugu,we we kwani pesa za Barbara kaleta sugu sio hi yo Bali ni mapambano Yake mbunge José ache I uccm
 
kitu kikubwa kinacho kufanya umuona anafaa ni uzawa na usafwa wake mapambo mengine uliyompamba nayo ni mbwembwe.mahubiri yale yale ya magamba ya kuwabaguwa watu kwa ukabila,udini na ukanda.

umekalilishwa na hoja sio magamba au chama uongozi ni mtu sio chama
 
nyie hamuijui mby hats ulete jk hatamshinda sugu,we we kwani pesa za barbara kaleta sugu sio hi yo bali ni mapambano yake mbunge josé ache i uccm

tatizo nyie wafwasi wa chadema mumejaa na mavurugu sugu akachoka hamna alicho fanya zaid kuuaibisha mkoa wa mbeya
 
Sugu hana cha kujivunia itakuwa ajabu kama chadema watamludisha sugu kama mgombea wao
 
Hata chadema wao hawana mpango wa kumrudisha mr two sugu wanajua tu watapoteza hilo jimbo labda slaa aende mbeya kugombea
 
Sugu Akishavuta na kuingia Bungeni, hataki hata kufuata kanuni za bunge, yeye anawaza kupigana ngumi tu!
 
Na ni ujinga ambao umevuka mipaka hadi kusema mgombea akiwa mzawa ni ukabila,ikumbukwe hadi wanamuziki wa mbeya walikuwa na imani sana na sugu kwamba atawasaidia lakini maajabu hadi leo hakuna alichowafanyia na kama mtu unamjua mbuza ni vichwa vya watu kama sugu 12 hivi ndio mbuza mmoja
 
Nikufuatia vituko vyake bungeni kuaribu mike ambazo ni kodi zetu kutukana viongozi wa serikali tuende mbele jaman turud nyuma kama wana mbeya damu wapenda maendeleo kweli si zan kama sugu ana hitajika sisi wafanya biashara binafsi hatumtaki
 
hawa mbuzax walikua wawili,mdogo na mkubwa. Walianza kujulikana kwa kuwa na vyombo vya muziki wakikodisha na kupigisha disco maeneo mbalimbali ya mbeya town enzi hizo.kijiwe chao kilikua mitaa ya soweto karibu ya moondust na nkwezuru. Sasa niambie ni kaka mtu au mdogo mtu ndio huyo anataka kugombea na sugu nimthaminishe hapa!?

kama upo mbeya utamjua tu
 
Mpuuzi mkubwa wewe m yani mijitu inayoendekeza udini na ukabila ningekua na uwezo wa kuichoma moto ningeichoma moto yote
nimeseme msafwa katika maana ya uzawaa sio kama ni kigezo chakuonyesha ukabila ila kwa ivo ipo wazi hapa nchi yetu kua mzawa ndo anapewa nafasi na watu kumuamini jimbo lazima lirudi kwa mnyakyusa au msafwaa
 
nyie hamuijui mby hats ulete jk hatamshinda sugu,we we kwani pesa za barbara kaleta sugu sio hi yo bali ni mapambano yake mbunge josé ache i uccm

huyo sugu mwenyewe saiv ana aidia ya udiwan anajua hataweza mziki wa mbuzax siwapendi ccm lakin kwa huyu jamaa mbuzax nitakua nao sugu katuponza sisi wafanya biashara. Ina tosha sugu kaaribu vijana wa mbeya kwa viloba
 
Sugu ashukulu kaweza kupata gari na nyumba hela za penseni aanzishie biashara hata ya kuuza maua,itamsaidia akiingiza kwenye kampeni spika baada ya makinda atatangaza kwamba sugu kaenda kuomba hela bungeni miaka mitano inatosha
 
mpuuzi mkubwa wewe m yani mijitu inayoendekeza udini na ukabila ningekua na uwezo wa kuichoma moto ningeichoma moto yote

ndomyana toa hoja hapa ni mahali patakatifu sio matusi ni hoja tu sugu kafanya nini tuelezane iki tumpe tena tueleze hapa wana jf wajue
 
Ikumbukwe sugu kafanya mapi duzi ya bunge mpaka lina dhalaulika(adi 20% anataka ubunge,afande sele pia) kwa tabia zake za kukosa ni dhamu tunajilaumu sana hapa mbeya mjini
 
Back
Top Bottom