johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,934
- 141,907
- Thread starter
- #41
Mkuu mbunge hachaguliwi na polisi!Uzuri hiyo itakuwa 2020. Polisi watakuwa wametawanyika, na wananchi watakuwa wengi kulikompolisi kwenye majimbo husika ya uchaguzi. utasikilizia mziki wake.