Mbeya mjini 2020: Tulia marathon vs Wajelajela

Ngaranalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
336
Likes
193
Points
60

Ngaranalo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
336 193 60
Uzuri hiyo itakuwa 2020. Polisi watakuwa wametawanyika, na wananchi watakuwa wengi kulikompolisi kwenye majimbo husika ya uchaguzi. utasikilizia mziki wake.
Jimbo lolote lile nchi hii ccm ikilitaka inachukuwa hata kama polisi wametawanyika muulize Wenje na kafulila watakwambia
 

Forum statistics

Threads 1,189,542
Members 450,716
Posts 27,639,676