Uchaguzi 2020 Mbeya mjini 2020: Tulia marathon vs Wajelajela

Mbeya naifaham na ninaijua, Tulia atulie tu wala asipoteze mda na vijihela vyake kwa kuanza kujipendekeza mapema hii ni mbeya hakuna cha police wala jeshi wasitegemee kubadilisha matokeo wakifanya hivyo basi mbeya itakuwa kitovu cha revolution, marehem kandoro angekua hai angewatahadharisha fisiem.
 
Muulizeni jk kuhusu mbeya anaijua vizuri
Mbeya inahistoria ngumu aisee na kwa umoja usiseme inahistoria ndefu kwanza ya kandoro tu iliwatoa jasho askari anaishiwa zana zinaanza kupigwa kavu kavu face to face tena na mtu mmoja hadi askari zinamwokoa mbio, tunaijua watatumia risasi za moto hio tunajua sasa subirini.
 
kumbuka uchaguzi wa 2020 kila mtu atakomaa jimboni kwake! Hakutakuwa na kupigana tafu. SUGU kwanza!
 
Kwa uchaguzi mdogo sawa lakini kwa uchaguzi mkuu Tulia ataachwa kwa mbali sana labda aende kwa Lusinde au kwa Gudluck
 
Tulia hawezi kushinda hata kwa dawa. Mimi ni mwana CCM ila siwezi kumpa Tulia kura yangu.

Dawa yake ili ashinde lazima atumie polisi. Ingawa vijana wa Mbeya tuko imara. Sisi sio wajinga j8nga wala legelege
Polisi hawapigi kura
 
Bado itakuwa vigumu, namshauri huyu binti aachane na mbeya, kwanza mbeya mwanamke kwenye uongozi kuanzia ndani ya nyumba syo preference yao,sawa na moshi kwa wachaga,tofauti kubwa ya kura itamnyima huyo dada ushindi.aombe kuteuliwa kama ilivyo sasa.wanyaki hawapendi ujinga na kampeni hizi zitaongozwa hata na wana ccm wenyewe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom