Kama kapatikana hai tunashukuru ila atakua amejifunda adabu hahahahahaaaa.. Pole bwana mdude cjui..
Umenisoma hukunielewaSi anatoswa tu mahali kama walivyomuacha Mo gymkana!
Sisi tunachojali ni uhai wake nyie endeleeni na roho mbaya zenu.alikuwa ana tafuta kiki ameipata