Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

Hizi Kick! Kick! Kick! Mbaya sana. Aswekwe ndani na kushitakiwa mahakamani kwa kosa la kutengeneza movie ya kutekwa kwa nia ya kuleta uchochezi. Yeye ni mtu mdogo sana chadema, kwa nini atekwe yeye badala ya kuteka kigogo mwenye mashiko? Ukitaka kula nguruwe si unachagua aliyenona? It doesn't make sense mtu kama yeye eti katekwa!!
 
Sasa hao waliokua wanasema ameletwa dar habari wamezipata wapi. Huyu bila shaka kajiteka kama nondo mpango ukiwa kuwapatia wapinzani tukio kufanya siasa wanazojua.

Wew akili zako zipo tumboni

Kutoka Dar es salaam kwa gari bora masaa wangapi?

Masaa nane tu....

Kama waliondoka saa nne ukuzingatia hata speed haziwahusu.........
 
Oops Bora tupumue sasa
hapa ngoja niitafute clips ya Gwajima
then j2 nikacheck dude Lina vyoamshwa

mpaka kufika 2020 Nadhani tutaona Mengi SANAAAA
Ukiconnect dot unaweza kuhisi nguvu ya Gwajima leo imeshtua watu...
Mzee wa kusaga kokoto ukatoka unga..
As far as nchi hii ina mtindo wa kuficha matukio isije kuwa wanatutoa kwenye reli ili Gwaji boy asitoe yake..
 
Hizi Kick! Kick! Kick! Mbaya sana. Aswekwe ndani na kushitakiwa mahakamani kwa kosa la kutengeneza movie ya kutekwa kwa nia ya kuleta uchochezi. Yeye ni mtu mdogo sana chadema, kwa nini atekwe yeye badala ya kuteka kigogo mwenye mashiko? Ukitaka kula nguruwe si unachagua aliyenona? It doesn't make sense mtu kama yeye eti katekwa!!
Imewauma kupatikana hai?
 
Ukiconnect dot unaweza kuhisi nguvu ya Gwajima leo imeshtua watu...
Mzee wa kusaga kokoto ukatoka unga..
As far as nchi hii ina mtindo wa kuficha matukio isije kuwa wanatutoa kwenye reli ili Gwaji boy asitoe yake..
Gwajima ndiye Mwanaume pekee ambaye anatesa Akili na mbinu za Bashite
 
Hii ni habari mbaya sana kwa wanachama wa chama cha kijani
Nyinyi kila sehemu siasa tu,yaani umeambiwa mtu amepatikana akiwa ktk hali mbaya wewe unaandika kama hakuna kilichoharibika. Kwa hyo kijani wakichukia wewe utafurahi kwa hyo hali walosema yuko nayo?
 
Back
Top Bottom