Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

Heshima kwenu wakuu,

Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana.

Mdude amepatikana katika kijiji cha Makwenje, kata ya Inyara katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Taarifa hizi za awali zimethibitishwa na Diwani wa CHADEMA mkoani humo, Mwangomale.

Stay tuned
Sasa hao waliokua wanasema ameletwa dar habari wamezipata wapi. Huyu bila shaka kajiteka kama nondo mpango ukiwa kuwapatia wapinzani tukio kufanya siasa wanazojua.
 
Oops Bora tupumue sasa
hapa ngoja niitafute clips ya Gwajima
then j2 nikacheck dude Lina vyoamshwa

mpaka kufika 2020 Nadhani tutaona Mengi SANAAAA
 
Aiseeee sijui kama ataelezea yaliyokua yanatukia kipindi ametekwa
 
Kale kataarifa ka ikulu kalimtaja na amepatikana sasa je waliohusika watakamatwa au ndo WASIOJULIKANA
FB_IMG_1557345546659.jpeg
 
Back
Top Bottom