Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

Kaz ya mahakama ni nini?
Na kazi ya 'wasiojulikana' ni nini !?
Atukane kwa excuse ya mahakama ?
Yaani wamemuachia mrembo kabisa, sijui wana maana gani 'kuchakaza' ?! Au watakuwa wamemchakaza sehemu isiyo onekana !
 
Na kazi ya 'wasiojulikana' ni nini !?
Atukane kwa excuse ya mahakama ?
Yaani wamemuachia mrembo kabisa, sijui wana maana gani 'kuchakaza' ?! Au watakuwa wamemchakaza sehemu isiyo onekana !
Unajua haya mambo ndio yanapelekeaga ugaidi raia wakiacha kujulikana na waka strike back mtalia na kusaga meno
 
Unajua haya mambo ndio yanapelekeaga ugaidi raia wakiacha kujulikana na waka strike back mtalia na kusaga meno
Ugaidi kaanza yeye kwa kutusi watu !
Yaani utukane amiri jeshi, kisha RPC umuite mpumbavu then uchekewe !? Daah wamemgusa gusa tuu hajachakazwa !
 
Mkuu unafanana na jamaa yangu enzi za primary, Yeye ni bingwa wa kuamasisha wenzake waonyeshe ubabe wao huku yy akiwa ndie kiongozi wa waoga.
Huyo Mdude ukimuuuliza unataka kuwa nani !? Hana jibu, ni mshabiki tuu !
 
Siasa ilivyo mbaya,utakuta jamaa anafight kupigania wenzake wale vinono,siku wakifanikiwa,wanamgeuka na kumwita msaliti.
Maana yake afadhali angekuwa kashindania udiwani/ubunge tungeelewa mapambano yake.
 
Heshima kwenu wakuu,

View attachment 1092268

Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana. Hawezi kutembea wala kujipandisha kwenye bajaji. Utaratibu wa kupelekwa Hospitali apewe huduma ya kwanza unafanyika.

Mdude amepatikana katika Jimbo la Mbeya Vijijini kata ya Inyara Kijiji cha Makwenje kitongoji cha Mwasho.

Taarifa hizi za awali zimethibitishwa na Diwani wa CHADEMA mkoani humo, Kissman Mwangomale.

Siku ya Jumamosi Tarehe 4 Mei 2019, Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA, Mpaluka Said Nyagali (Mdude Chadema) alivamiwa kisha kuchukuliwa na watu ambao hawakutambulika wenye Silaha za moto, akiwa ofisini kwake, eneo la Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe, katika tukio lenye dalili za utekaji.

Zaidi, soma;



Stay tuned
View attachment 1092366
Nilidhani ni leo. Kuku kapona.
 
Back
Top Bottom