Mbeya: Mbaroni kwa kukutwa na laini 141 za simu

Pongez ziende kwa serikali ya awamu ya tano kuwezesha wananchi wake wengi kumiliki laini nyingi za simu
 
Alikutwa na laini za Halotel 13, laini za Tigo 29, laini moja ya TTCL, laini 78 za VodaCom na laini 20 za Airtel, pia alikutwa na vocha zilizotumika 5 za VodaCom, 4 za Tigo, 48 za Airtel na 3 za Halotel pamoja na simu Itel (3), Oking (1) na Hotwave (1)


Huyu alikuwa mpumbavu, alishindwa nini kuwa na line nyingi za TTCL? Hakujua kama angekuwa salama
 
Back
Top Bottom