Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,620
- 2,717
Fukuza wasaliti wote.
Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi ndani ya Chadema Mbeya..Hasa Mbeya mjini...Kajigili hata mimi mwenyewe ningemvua uanachama , Msaliti kama yule katika kipindi kama hiki ambacho chadema inatendewa unyama ambao haumo hata kwenye filamu ya Sarafina , unawezaje kushirikiana na ccm ?
Halafu hapaswi kufukuzwa tu , inatakiwa ihamasishwe Mbeya yote atengwe na jamii , unawezaje kushirikiana na wauaji waliopanga hukumu ya Sugu hotelini ?
Nilimsikia akimuimbia mapambio BI ALIKWINA wa Mbeya, TULIA.Kajigili ni mshamba na mchumia tumbo wa hatari sana ! kapewa bia mbili tu na Dr Tulia kasahau tulikomuokota na kumpa udiwani , fukuza kabisa huyo
Soon NEC itatangaza majimbo yako wazi hata kabla hawajapata baruaMadiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho
Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi ndani ya Chadema Mbeya..Hasa Mbeya mjini...
Hilo la kuwafukuza uanachama Ngalawa, Kajigili na Mwatujobe ni kwamba hakuna kikao kilichofanyika jana ama leo na kuazimia kuwafukuza uanachama(Mwenyekiti wa CDM Mbeya Obadia Mwaipalu na wenzake wameibuka tu leo asubuhi na kuita waandishi wa habari kutangaza kuwafukuza hao Madiwani baada ya kusikia wana mkutano na Waandishi wa Habari)....Hilo limezuka baada ya hao Madiwani kuitisha mkutano na waandishi wa Habari (ambao unaendelea sasa hivi Uyole Saccos) kwa lengo la kutangaza kujiuzulu Udiwani.
Hata Diwani Mhe. Ngogo naye ana mpango wa kujiuzulu.
Eti kwa sababu wamemsifia Naibu Spika Tulia...!! Chadema watapata taabu sana awamu hii...!!Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho
Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Hakuna usimart wala nini....!! Vipi hao hawajanunuliwa?? Wanafuata sera nzuri za chama dume CCM!Safi sanaa kumbe chadema mbeya wapo smart wamewahi wasaliti kabla hawajatangaza kuhama......
Mbona Lowassa amemsifia JPM na hamjamfukuza??? Au kwa kuwa yeye ndiyo mwenye chama??hivi Kajigili si ndio huyo alikuwa anamsifia Tulia kwenye alaiki ya watu..
akisema "mm nipo upande wa mabadiliko"
Huku wanatangaza kuwafukuza huku wanatangaza kujiuzulu...Ni muda huohuo Chifu...Hakuna usmart hapo...Safi sanaa kumbe chadema mbeya wapo smart wamewahi wasaliti kabla hawajatangaza kuhama......
Kajigili hata mimi mwenyewe ningemvua uanachama , Msaliti kama yule katika kipindi kama hiki ambacho chadema inatendewa unyama ambao haumo hata kwenye filamu ya Sarafina , unawezaje kushirikiana na ccm ?
Halafu hapaswi kufukuzwa tu , inatakiwa ihamasishwe Mbeya yote atengwe na jamii , unawezaje kushirikiana na wauaji waliopanga hukumu ya Sugu hotelini ?
Watu wanahubiri Demokrsia inakuwaje mtu wanayetofautiana kauli tu afukuzwe? Wajifunze kwa wenzao wa CCM ambao wanaweza kuvumilia kauli tofauti kutoka kwa akina Nape na Bashe. Habari hii imenishitua sana evi kweli CHAMA CHA DEMOKRASIA KINAWEZA FANYA KITU KAMA HIKI?Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho
Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Huyu wa Sisimba ni Kajigili au Kagili, kama vile namfananisha!Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho
Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Kuna kitu hukijui kwenye mipango ya ccm na Tulia kwenye jimbo la Mbeya Mjini , haya chadema wanayajua tangu kitambo sana , hizo sababu unazozitaja za uongozi wa chadema siyo zinazomuondoa kajigili , msikilize atakachoongea leo baada ya kulipwa wiki iliyopita kupitia tawi la NMB la Tukuyu .Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi ndani ya Chadema Mbeya..Hasa Mbeya mjini...
Hilo la kuwafukuza uanachama Ngalawa, Kajigili na Mwatujobe ni kwamba hakuna kikao kilichofanyika jana ama leo na kuazimia kuwafukuza uanachama(Mwenyekiti wa CDM Mbeya Obadia Mwaipalu na wenzake wameibuka tu leo asubuhi na kuita waandishi wa habari kutangaza kuwafukuza hao Madiwani baada ya kusikia wana mkutano na Waandishi wa Habari)....Hilo limezuka baada ya hao Madiwani kuitisha mkutano na waandishi wa Habari (ambao unaendelea sasa hivi Uyole Saccos) kwa lengo la kutangaza kujiuzulu Udiwani.
Hata Diwani Mhe. Ngogo naye ana mpango wa kujiuzulu.
Hakika Mkurugenzi hatatambua,NEC watasema hawajapokea barua,wataenda mahakamani na kupata zuio na kuendelea na Udiwani hadi 2020.NatabiriMadiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho
Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho