MBEYA: Madiwani 3 wa CHADEMA wavuliwa uanachama

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
 
Jaman hizi chaguzi zinamaliza hela.
Ni bora washindi wapili wao kipindi cha uchaguzi wapewe vijiti wamalizie muda uliobaki. Madaraja huku hatupewi wala madai yetu kazi mauchaguzi tu yasioisha.
Wanasiasa ni wabinafsi sana aiseh
Viongozi watauawa sana
 
Usijali wagombea wa CCM watapitishwa bila kupingwa. Ndo staili mpya kwa sasa
 
Jaman hizi chaguzi zinamaliza hela.
Ni bora washindi wapili wao kipindi cha uchaguzi wapewe vijiti wamalizie muda uliobaki. Madaraja huku hatupewi wala madai yetu kazi mauchaguzi tu yasioisha.
Wanasiasa ni wabinafsi sana aiseh
Aliyevuliwa uanachama ni Geofrey Kajigili wa Sisimba(hata barua ya yeye kuondolewa imesambaa mtandaoni)..Hakuna barua ya kuwavua uanachama Ngalawa na Mwatujobe..Hao wengine ni uzushi..Hata huyo Kajigili hakuna kikao cha chama kilichoazimia kuwavua uanachama..Ni utashi/maelekezo ya mtu mmoja tu...

Chadema jiji la Mbeya inaelekea kubomoka...
 
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Ningeshangaa sana ka chadema ingewaacha hawa wapuuzi , safi sana chadema
 
Huu wakati sio mzuri kwa kufukuzana ndani ya chadema

Kwa siasa za sasa hivi poleni sana Chadema.
 
Aliyevuliwa uanachama ni Geofrey Kajigili wa Sisimba(hata barua ya yeye kuondolewa imesambaa mtandaoni)..Hakuna barua ya kuwavua uanachama Ngalawa na Mwatujobe..Hao wengine ni uzushi..Hata huyo Kajigili hakuna kikao cha chama kilichoazimia kuwavua uanachama..Ni utashi/maelekezo ya mtu mmoja tu...

Chadema jiji la Mbeya inaelekea kubomoka...
Kajigili hata mimi mwenyewe ningemvua uanachama , Msaliti kama yule katika kipindi kama hiki ambacho chadema inatendewa unyama ambao haumo hata kwenye filamu ya Sarafina , unawezaje kushirikiana na ccm ?

Halafu hapaswi kufukuzwa tu , inatakiwa ihamasishwe Mbeya yote atengwe na jamii , unawezaje kushirikiana na wauaji waliopanga hukumu ya Sugu hotelini ?
 
hivi Kajigili si ndio huyo alikuwa anamsifia Tulia kwenye alaiki ya watu..

akisema "mm nipo upande wa mabadiliko"
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom