unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?
Katika chama chochote diwani ni mtu mdogo sana , hawezi kujipa kiburi kama cha Kajigili , kingine ni kwamba diwani anahusika kwenye kata yake , Muulize kajigili kama kata yake ilitengwa na jiji ambalo liko mikononi mwa chadema ?