MBEYA: Madiwani 3 wa CHADEMA wavuliwa uanachama

Kuna kitu hukijui kwenye mipango ya ccm na Tulia kwenye jimbo la Mbeya Mjini , haya chadema wanayajua tangu kitambo sana , hizo sababu unazozitaja za uongozi wa chadema siyo zinazomuondoa kajigili , msikilize atakachoongea leo baada ya kulipwa wiki iliyopita kupitia tawi la NMB la Tukuyu .
Nimekwambia tatizo ni Chadema Mbeya..Tayari madiwani watatu wamemfuata Kajigili...Ngalawa, Mwatujobe na Ngogo..Na kuna taarifa bado wengine wanafuata...Mwaipalu na wenzake wameitisha kikao na waandishi wa Habari leo baada ya kusikia jamaa wanajiuzulu...Hakuna kikao chochote kilichokaa na kuazimia kuwafukuza(labda kifanyike leo)
 
unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?

Katika chama chochote diwani ni mtu mdogo sana , hawezi kujipa kiburi kama cha Kajigili , kingine ni kwamba diwani anahusika kwenye kata yake , Muulize kajigili kama kata yake ilitengwa na jiji ambalo liko mikononi mwa chadema ?
 
Kwa kifupi CHADEMA ni wanafiki sana walisema madiwani wao waunge mkono wakiwa huko huko bila kuhama vyama leo hii wameunga mkono juhudi za awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi wanait2a wasaliti!
Hivi kama tatizo ni Kajigili kumsifia Dk. Tulia, Mbona Lowassa alimsifia Rais na hakuchukuliwa hatua?..Mbona Mchungaji Msigwa alimsifia Rais na hakuchukuliwa hatua?...Tatizo sio Kajigili..Tatizo linaanzia juu
 
unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?

Katika chama chochote diwani ni mtu mdogo sana , hawezi kujipa kiburi kama cha Kajigili , kingine ni kwamba diwani anahusika kwenye kata yake , Muulize kajigili kama kata yake ilitengwa na jiji ambalo liko mikononi mwa chadema ?

Kama viongozi wote wa CDM wananunulika kirahisi hivyo je hiki ni chama cha kuaminiwa kuongoza nchi kweli?
 
81C85A02-D72F-43C1-94DF-4D14D31E69E7.jpeg
unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?

Katika chama chochote diwani ni mtu mdogo sana , hawezi kujipa kiburi kama cha Kajigili , kingine ni kwamba diwani anahusika kwenye kata yake , Muulize kajigili kama kata yake ilitengwa na jiji ambalo liko mikononi mwa chadema ?
Ninachozungumzia hapa ni Timing ya Mwaipalu na wenzake...Kwa mfano David Ngogo wa Nsalaga leo Mwaipalu amesema hajafukuzwa, ataitwa kesho ahojiwe, Ngogo ameamua kujiuzuru...

Kwenye Siasa hakuna mtu mdogo Chief..Mtu yeyote anayechaguliwa na wananchi hasa ngazi ya Diwani usimdharau na kusema ni mdogo..Kura za Diwani ndio huzaa za Mbunge pia...Kata ya Sisimba ipo katikati kabisa ya Jiji la Mbeya..Ni Kata ambayo viongozi wote wakuu wapo/wanaishi..Kusema kwamba Diwani wa Kata kama ya Sisimba ni mtu mdogo ndani ya chama ni kukosea...

Na trust me, kuna madiwani wengi watamfuata Kajigili na wenzake..Usikimbilie tu kusema wamenunuliwa..Mtu kama Mchungaji Ngogo ameandamwa kwa sababu tu alimualika Dk. Tulia kutoa msaada wa saruji na mabati kwa ajili ya ujenzi wa shule kwenye Kata yake....

Pia Mbunge analalamikiwa kwa ukimya wake..Zimetokea ajali na kuua watu Mbunge yuko kimya..Hajaenda kutoa pole kwa majeruhi na wafiwa...Dk. Tulia kafanya hivyo..Ukiacha umaarufu na ‘kukubalika’...Siasa za sasa ni game of chance na ni mchezo mchafu pia..Mheshimiwa Sugu ajiongeze, asilale..Jiji la Mbeya sasa hivi ni kama limepooza...
 
kumbe hii ndio ID ya kajigili basi kwaheri mkuu
Dah...Umeshafika huko??....

Hiyo link ya video tayari iko viral...Kuanza kusema kwamba ni Id ya Kajigili ni kukosa hoja...Hasa kwa Dunia hii ya mtandao..

Sina uhakika sana kama Kajigili anaijua JF ama anajua hata kupost humu...

Nipo humu JF zaidi ya miaka 10 sasa...Nadhani ni mkongwe zaidi yako...Nimepost hiyo video kwa lengo la kuwajuza wana JF upande wa pili wa shilingi...Kwa hiyo nikiiweka ile video ya Mwaipalu utasema ni Id ya Mwaipalu??
 
Back
Top Bottom