MBEYA: Madiwani 3 wa CHADEMA wavuliwa uanachama

Hiki chama sasa kimefikia tamati chini ya Mbowe wa Hai kama kilivyokuwa chama cha NCCR chini ya Mrema wa Rombo. Tunasubiri chama kingine cha upinzani kipande chati. Zamu hii labda kitakuwa kile cha Lipumba wa Sikonge! Ndiyo raha ya siasa zetu za vyama vingi.
 
Kajigili hata mimi mwenyewe ningemvua uanachama , Msaliti kama yule katika kipindi kama hiki ambacho chadema inatendewa unyama ambao haumo hata kwenye filamu ya Sarafina , unawezaje kushirikiana na ccm ?

Halafu hapaswi kufukuzwa tu , inatakiwa ihamasishwe Mbeya yote atengwe na jamii , unawezaje kushirikiana na wauaji waliopanga hukumu ya Sugu hotelini ?
Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi ndani ya Chadema Mbeya..Hasa Mbeya mjini...

Hilo la kuwafukuza uanachama Ngalawa, Kajigili na Mwatujobe ni kwamba hakuna kikao kilichofanyika jana ama leo na kuazimia kuwafukuza uanachama(Mwenyekiti wa CDM Mbeya Obadia Mwaipalu na wenzake wameibuka tu leo asubuhi na kuita waandishi wa habari kutangaza kuwafukuza hao Madiwani baada ya kusikia wana mkutano na Waandishi wa Habari)....Hilo limezuka baada ya hao Madiwani kuitisha mkutano na waandishi wa Habari (ambao unaendelea sasa hivi Uyole Saccos) kwa lengo la kutangaza kujiuzulu Udiwani.

Hata Diwani Mhe. Ngogo naye ana mpango wa kujiuzulu.
 
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Soon NEC itatangaza majimbo yako wazi hata kabla hawajapata barua
 
Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi ndani ya Chadema Mbeya..Hasa Mbeya mjini...

Hilo la kuwafukuza uanachama Ngalawa, Kajigili na Mwatujobe ni kwamba hakuna kikao kilichofanyika jana ama leo na kuazimia kuwafukuza uanachama(Mwenyekiti wa CDM Mbeya Obadia Mwaipalu na wenzake wameibuka tu leo asubuhi na kuita waandishi wa habari kutangaza kuwafukuza hao Madiwani baada ya kusikia wana mkutano na Waandishi wa Habari)....Hilo limezuka baada ya hao Madiwani kuitisha mkutano na waandishi wa Habari (ambao unaendelea sasa hivi Uyole Saccos) kwa lengo la kutangaza kujiuzulu Udiwani.

Hata Diwani Mhe. Ngogo naye ana mpango wa kujiuzulu.

Safi sanaa kumbe chadema mbeya wapo smart wamewahi wasaliti kabla hawajatangaza kuhama......
 
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Eti kwa sababu wamemsifia Naibu Spika Tulia...!! Chadema watapata taabu sana awamu hii...!!
 
Safi sanaa kumbe chadema mbeya wapo smart wamewahi wasaliti kabla hawajatangaza kuhama......
Hakuna usimart wala nini....!! Vipi hao hawajanunuliwa?? Wanafuata sera nzuri za chama dume CCM!
 
Kajigili hata mimi mwenyewe ningemvua uanachama , Msaliti kama yule katika kipindi kama hiki ambacho chadema inatendewa unyama ambao haumo hata kwenye filamu ya Sarafina , unawezaje kushirikiana na ccm ?

Halafu hapaswi kufukuzwa tu , inatakiwa ihamasishwe Mbeya yote atengwe na jamii , unawezaje kushirikiana na wauaji waliopanga hukumu ya Sugu hotelini ?

LOWASSA mbona hujavua unachama na amekuwa akimsifia JPM??
 
Hapo uchaguzi wa marudio inabidi ufanyike. Hivi hawa Chadema hawaoni kama ni kuwabebesha mzigo Watanzania kwa kufanya chaguzi za marudio? Wanasiasa siyo kabisa wote lao moja..!!!
 
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Watu wanahubiri Demokrsia inakuwaje mtu wanayetofautiana kauli tu afukuzwe? Wajifunze kwa wenzao wa CCM ambao wanaweza kuvumilia kauli tofauti kutoka kwa akina Nape na Bashe. Habari hii imenishitua sana evi kweli CHAMA CHA DEMOKRASIA KINAWEZA FANYA KITU KAMA HIKI?
 
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Huyu wa Sisimba ni Kajigili au Kagili, kama vile namfananisha!
 
Huu ni wakati wa kuwa pamoja kama wapigania maslahi mapana ya nchi, halafu wanakuja wajinga wachache kutaka kutetea serikali katili na dhalimu! Hili halikubaliki kamwe maana hata shetani anashangaa, watetea maovu timua wote
 
Kuna tatizo kubwa sana la kiuongozi ndani ya Chadema Mbeya..Hasa Mbeya mjini...

Hilo la kuwafukuza uanachama Ngalawa, Kajigili na Mwatujobe ni kwamba hakuna kikao kilichofanyika jana ama leo na kuazimia kuwafukuza uanachama(Mwenyekiti wa CDM Mbeya Obadia Mwaipalu na wenzake wameibuka tu leo asubuhi na kuita waandishi wa habari kutangaza kuwafukuza hao Madiwani baada ya kusikia wana mkutano na Waandishi wa Habari)....Hilo limezuka baada ya hao Madiwani kuitisha mkutano na waandishi wa Habari (ambao unaendelea sasa hivi Uyole Saccos) kwa lengo la kutangaza kujiuzulu Udiwani.

Hata Diwani Mhe. Ngogo naye ana mpango wa kujiuzulu.
Kuna kitu hukijui kwenye mipango ya ccm na Tulia kwenye jimbo la Mbeya Mjini , haya chadema wanayajua tangu kitambo sana , hizo sababu unazozitaja za uongozi wa chadema siyo zinazomuondoa kajigili , msikilize atakachoongea leo baada ya kulipwa wiki iliyopita kupitia tawi la NMB la Tukuyu .
 
Madiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho

Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Hakika Mkurugenzi hatatambua,NEC watasema hawajapokea barua,wataenda mahakamani na kupata zuio na kuendelea na Udiwani hadi 2020.Natabiri
 
Diwani wa Kata ya Nsalaga Mchungaji DAVID NELSON NGOGO naye ametangaza kujiuzulu
52DC0440-5044-434D-9DD8-EE69A1A24698.jpeg
F646407F-FB81-4365-8E09-6CDBE2825544.jpeg
 
Back
Top Bottom