Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,321
- 219,633
waondoke wasaliti woteDiwani wa Kata ya Nsalaga Mchungaji DAVID NELSON NGOGO naye ametangaza kujiuzuluView attachment 814551 View attachment 814553
waondoke wasaliti woteDiwani wa Kata ya Nsalaga Mchungaji DAVID NELSON NGOGO naye ametangaza kujiuzuluView attachment 814551 View attachment 814553
Nimekwambia tatizo ni Chadema Mbeya..Tayari madiwani watatu wamemfuata Kajigili...Ngalawa, Mwatujobe na Ngogo..Na kuna taarifa bado wengine wanafuata...Mwaipalu na wenzake wameitisha kikao na waandishi wa Habari leo baada ya kusikia jamaa wanajiuzulu...Hakuna kikao chochote kilichokaa na kuazimia kuwafukuza(labda kifanyike leo)Kuna kitu hukijui kwenye mipango ya ccm na Tulia kwenye jimbo la Mbeya Mjini , haya chadema wanayajua tangu kitambo sana , hizo sababu unazozitaja za uongozi wa chadema siyo zinazomuondoa kajigili , msikilize atakachoongea leo baada ya kulipwa wiki iliyopita kupitia tawi la NMB la Tukuyu .
Hivi kama tatizo ni Kajigili kumsifia Dk. Tulia, Mbona Lowassa alimsifia Rais na hakuchukuliwa hatua?..Mbona Mchungaji Msigwa alimsifia Rais na hakuchukuliwa hatua?...Tatizo sio Kajigili..Tatizo linaanzia juuwaondoke wasaliti wote
Siyo kwenda bali zilishakuwa tayari za CCM.Hizo kata zitaenda ccm...
Thubutuuu!...Na hiyo sababu ya utovu wa nizamu iende hadi nganzi ya juu, hususani edo
Hakuna kamanda atakayetoa jibu kamilifu hapo.LOWASSA mbona hujavua unachama na amekuwa akimsifia JPM??
We komaKwa maamzi hayo sasa CHADEMA mmeanza kufanya maamzi ya kweli
Na hiyo sababu ya utovu wa nizamu iende hadi nganzi ya juu, hususani edo
unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?Nimekwambia tatizo ni Chadema Mbeya..Tayari madiwani watatu wamemfuata Kajigili...Ngalawa, Mwatujobe na Ngogo..Na kuna taarifa bado wengine wanafuata...Mwaipalu na wenzake wameitisha kikao na waandishi wa Habari leo baada ya kusikia jamaa wanajiuzulu...Hakuna kikao chochote kilichokaa na kuazimia kuwafukuza(labda kifanyike leo)
Hivi kama tatizo ni Kajigili kumsifia Dk. Tulia, Mbona Lowassa alimsifia Rais na hakuchukuliwa hatua?..Mbona Mchungaji Msigwa alimsifia Rais na hakuchukuliwa hatua?...Tatizo sio Kajigili..Tatizo linaanzia juu
unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?
Katika chama chochote diwani ni mtu mdogo sana , hawezi kujipa kiburi kama cha Kajigili , kingine ni kwamba diwani anahusika kwenye kata yake , Muulize kajigili kama kata yake ilitengwa na jiji ambalo liko mikononi mwa chadema ?
POLE. UNAPATA TABU SANA. POLE SANA!kumbe hii ndio ID ya kajigili basi kwaheri mkuu
Ninachozungumzia hapa ni Timing ya Mwaipalu na wenzake...Kwa mfano David Ngogo wa Nsalaga leo Mwaipalu amesema hajafukuzwa, ataitwa kesho ahojiwe, Ngogo ameamua kujiuzuru...unamuonea Mwaipalu bure , CCM imewanunua hawa siku nyingi tu kwa ahadi ya kuwarudisha kugombea , kama una akili kidogo tu rudia kumuangalia Kajigili kwenye mkutano ule wa Tulia , utajua kwamba alishajipanga kitambo tu , mimi ni miongoni mwa watu wa chadema tunaofuatilia mpango wa ccm mbeya , ninakuambia huku nikielewa vizuri mipango yote , Kuna ngazi hata ya kanda mbona hawakupeleka malalamiko huko ?
Katika chama chochote diwani ni mtu mdogo sana , hawezi kujipa kiburi kama cha Kajigili , kingine ni kwamba diwani anahusika kwenye kata yake , Muulize kajigili kama kata yake ilitengwa na jiji ambalo liko mikononi mwa chadema ?
Dah...Umeshafika huko??....kumbe hii ndio ID ya kajigili basi kwaheri mkuu