Mbeya long time kitambo

IPP-Isanga Peoples Party,Mwalugaja unamaanisha Laurent?alisoma Olevel kipoke wenye kiwira motel?
Isanga family namkumbuka jamaa mmoja alikua anaitwa crazy murder alikua anaishi forest amesoma o-level sangu secondary, baba yake alikua mwalimu pale sangu (mwalimu Kasebele)r.I.p.Isanga family lilikua kundi la muziki wa hip hop
 
+watoto wa isanga enzi hizo wakorofi mpira ukiisha sokoine watayemkuta mbele yao yeyote alikua halali yao DJ BBG shimoni RIP mwaibade baunsa
 
Mwasimba Alikuwa na local gym. Mna piga vyuma na nyama za machinjioni
Kipindi cha machinjioni maskani/ Nonde kulikuwa kutamu sana. Saa nne watu wameshaingiza siku. Hapo ni chuma na movie, jioni pombe. Mbeya tamu sana.
 
Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Hahahhaa mswanga kizazi cha Mwasimba
 
Isanga family namkumbuka jamaa mmoja alikua anaitwa crazy murder alikua anaishi forest amesoma o-level sangu secondary, baba yake alikua mwalimu pale sangu (mwalimu Kasebele)r.I.p.Isanga family lilikua kundi la muziki wa hip hop

Mtu Mmoja katika hiyo familia ya Issanga Familly Eddy yupo namuona ona Ubungo Terminal
 
Namkumbuka Ben Tall striker wa Vasta huku akisoma Sangu
 


Mimi naikumbuka Mbeya ya 1975/1977. Reli ya Tazara inazinduliwa 1976 tulipanda train iliyotoka Kapiri Mposhi tukashuka Makambako tukarudi Mbeya kwa gari VW combi. Nilikuwa na viwanja vya golf kabla ya kugeuzwa matumizi ili ujengwe uwanja mkubwa wa michezo. Tulishiriki katika Ujenzi wa Uwanja wa Mapinduzi ( Sokoine) tukitokea Majengo primary school tukishirikiana na wanafunzi wa Sisimba, Mbaya, Azimio hiyo ilikuwa 1976 etc. Mwalimu Mkuu Malengo alikuwa Mwl Mwangomile na Mbaya alikuwa Mwakang'ata.
Nakumbuka kulikuwa na kikundi cha Sanaa kilichoitwa Chamnambe kikiongozwa na Mzee Ryoba. Kulikuwa na shule inaitwa Muungano ilikuwa msituni njia ya Mwanjelwa sijui kama bado ipo. Pia nakumbuka Pareto ya uyole. Those old good days.

Pia nakumbuka 1976 ilitokea ajali kubwa ya basi likiitwa Mwambipile Bus Service ilipinduka huko Mwakaleli ikaua watu wengi sana.
Sijafika Mbeya Tangu Dec. 1977, nasikia imebadilika mno.
 
karibu Mbeya
 
Kama alifungwa basi alitoka baadae mkuu, nazungumzia miaka ya karibuni kama minne iliyopita, tuliswali nae sana pale msikiti wa barabara ya 4 matola.
Sawa kaka inawezekana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…