polisi na ffu wamechemsha jwtz wameshaingia kazini je na wao wakichemsha, nakumbuka maneno ya mbowe jana kwenye taarifa ya habari kwamba polisi wanainyanyasa chadema kote nchini na haya majimbo ya chadema ndiyo kabisa. polisi come down, acheni hulka yatawarudi damu za znz bado zinawalilia oooooo
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara
hapo kwenye nyekundu unaonekana wewe unadeka .....nipo mbeya kwenye gari la FFU nikripotikanza hauko mbeya..acha uongo wewe
hapo kwenye nyekundu unaonekana wewe unadeka .....nipo mbeya kwenye gari la FFU nikripoti
Haki ya kufanya biashara maeneo ambayo hayajatengwa kwa ajili hiyo?
Usibishane nae huyo mgonjwa wa akili! Najua alipo sasa hivi akiendelea nitamfikia alipo!ach upuuzi wewe...mana nakuona unapost huku na kule jukwaa lasia kuhusu vurugu za udsm...wacha uongo kijana na usipotoshe watu humu....tulioko ground zero ndo tunajua kinachoendelea....
Acha ujinga,maaskari wanatii amri tu,wala hawataki.vurugu zimetulia kidogo lakini bado hazijaisha.Kabepele pole sana ila ukweli ndio huo maandamano yameisha watu kichapo wamepokea nakandamizia hapa hapa taarifa kwenye gari la FFU nikiwa nakula tamu ya kutumikia taifa
hapo kwenye nyekundu unaonekana wewe unadeka .....nipo mbeya kwenye gari la FFU nikripoti
Psychopathy! U nid special psychiatrical attention! Ur boring! Nsire wafo na mau, kite iki!
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara
Acha uongo ulitudanganya eeh uko india utatujuza hali mwakyembee pyeeeeeeeee ongo kabisa weweUsibishane nae huyo mgonjwa wa akili! Najua alipo sasa hivi akiendelea nitamfikia alipo!
hahaha kijana una panic nini nawe huko dar andamana uone CCP watu walienda kufanya nini tena nyie masharobaro wa dar tunahamu nanyie sana piga virungu mbaya kabisaPsychopathy! U nid special psychiatrical attention! Ur boring! Nsire wafo na mau, kite iki!
hahaha kijana una panic nini nawe huko dar andamana uone CCP watu walienda kufanya nini tena nyie masharobaro wa dar tunahamu nanyie sana piga virungu mbaya kabisa
Wadau risasi na mabomu yanarindima mwanjelwa mbeya kati ya polisi na vijana. Barabara ya kibiashara ilifungwa. Ni hatari
taira....