Mbeya: Aliyeoa Yatima Mlemavu Gumzo, Wanavyoishi Utashangaa

[emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuelewa..nahis miguu anaweza irusha mgongon kwako akakubana akakusqueeze...[emoji23][emoji23][emoji23]... maisha haya
Nilimshuhudia MMOJA,,alikuwaga MLEWAVU WA MIGUU ,aisee ile style hata WEMA SEPETU akikutana nae hatoki, LAZIMA ATANGAZE NDOA,,,,,JAMAA alikuwa na DEMU ambaye sio mlemavu ,,,ILA YEYE JAMAA,,, alikuwa na ULEMAVU WA MIGUU,,,yaani MIGUU yote haina NGUVU ,,anatumia bicycle,, au anatambaa kwenye KUTEMBEA, basi,,,,JAMAA alimbananisha DEMU KITANDANI,,,,,jamaa JUU DEMU chini,,ktk ile style ya KIFO CHA MENDE,,jamaa aliizungusha MIGUU kama Anapiga sarakasi,,,kwa nyuma, ,,yaani MIGUU YA JAMAA YOTE ALIILETA MABEGANI kwa NYUMA,,, ,huku akiwa JUU ya kifua cha demu,,,, MIGUU YOTE MIWILI IKIWA IMEMUELEKEA DEMU KICHWANI, ,,wakiwa WAMELALIANA,,huku VIDOLE GUMBA vya MIGUU yote miwili vya jamaa,, vikiwa MASIKIONI KWA DEMU,,,jamaa ANAPIGA JEGEJE kwa STYLE YA SLOW MOTION,,, huku VIDOLE VYA MIGUU YOTE MIWILI VIKIMTEKENYA DEMU MASIKIONI,,,...aisee ,DEMU ALIKUWA ANAPAPARIKA KAMA NYOKA ALIYETIWA MAFUTA YA TAA,, jamaa TARATIBU anapiga JEGEJE,,,,ile style NILIVUTIWA NAYO sana TATIZO KILA NIKIJIKUNJA SIWEZI...so msione MTU kanogewa sehemu MKAANZA KUHOJI,,,,ukiona NYUKI kwenye MAJANI MAKAVU sio BURE,,kuna KITU CHA ZIADA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂taratibu mkuu ...ngoja kwanza...
ninakasaccos kangu kakusaidia walemavu wapi naweza pata mawasiliano ya huyo mkaka mlemavu nione namsaidiaje baiskel ..pls...nisaidie tafadhari😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]taratibu mkuu ...ngoja kwanza...
ninakasaccos kangu kakusaidia walemavu wapi naweza pata mawasiliano ya huyo mkaka mlemavu nione namsaidiaje baiskel ..pls...nisaidie tafadhari[emoji23][emoji23]
Yeye ana BICYCLE YAKE tayari,, ,ila nu mkali kwa mademu hatari, akimpitia DEMU wako,,hutakiwi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimshuhudia MMOJA,,alikuwaga MLEWAVU WA MIGUU ,aisee ile style hata WEMA SEPETU akikutana nae hatoki, LAZIMA ATANGAZE NDOA,,,,,JAMAA alikuwa na DEMU ambaye sio mlemavu ,,,ILA YEYE JAMAA,,, alikuwa na ULEMAVU WA MIGUU,,,yaani MIGUU yote haina NGUVU ,,anatumia bicycle,, au anatambaa kwenye KUTEMBEA, basi,,,,JAMAA alimbananisha DEMU KITANDANI,,,,,jamaa JUU DEMU chini,,ktk ile style ya KIFO CHA MENDE,,jamaa aliizungusha MIGUU kama Anapiga sarakasi,,,kwa nyuma, ,,yaani MIGUU YA JAMAA YOTE ALIILETA MABEGANI kwa NYUMA,,, ,huku akiwa JUU ya kifua cha demu,,,, MIGUU YOTE MIWILI IKIWA IMEMUELEKEA DEMU KICHWANI, ,,wakiwa WAMELALIANA,,huku VIDOLE GUMBA vya MIGUU yote miwili vya jamaa,, vikiwa MASIKIONI KWA DEMU,,,jamaa ANAPIGA JEGEJE kwa STYLE YA SLOW MOTION,,, huku VIDOLE VYA MIGUU YOTE MIWILI VIKIMTEKENYA DEMU MASIKIONI,,,...aisee ,DEMU ALIKUWA ANAPAPARIKA KAMA NYOKA ALIYETIWA MAFUTA YA TAA,, jamaa TARATIBU anapiga JEGEJE,,,,ile style NILIVUTIWA NAYO sana TATIZO KILA NIKIJIKUNJA SIWEZI...so msione MTU kanogewa sehemu MKAANZA KUHOJI,,,,ukiona NYUKI kwenye MAJANI MAKAVU sio BURE,,kuna KITU CHA ZIADA..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naomba pokea tusi..wauni huwa tunasema wewe ni fal*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

😊😊ameongea deep sana ...kha
 
MUNGU AMEMUONGOZA KIJANA WAKO WAPI WALE WENYE WOWOWOOO HAYA NENDENNI INSTRGAM MKE ANA SIFA MOJA TU UPENDO
 
MLEMAVU-3.jpg

WAKATI wanandoa wasiyokuwa na ulemavu hata wa kidole gumba wakiishi maisha ya kutwangana makonde na kununiana, hali ni tofauti kwa kijana Timotheo Mwazembe aliyeoa mlemavu.

Maisha ya ndoa ya Timotheo (29), mkazi wa Ilemi jijini Mbeya aliyemuoa Salome Msomba (30) ambaye ni mlemavu yamekuwa gumzo kwa jinsi kijana huyo anavyompenda na kumheshimu mkewe.

Taarifa za wengi kushangazwa na ndoa hiyo zilipozidi kusambaa, Risasi Jumamosi likaona ni vyema kuitembelea familia hiyo iliyobahatika kupata mtoto wa kiume hivi karibuni ili kujua mawili matatu kuhusu maisha yao.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Timotheo alisema anajisikia fahari kuishi na mkewe ambaye ni mlemavu licha ya kupata vikwazo vingi kutoka kwa ndugu zake.

MLEMAVU-5.jpg

“Mimi na Salome tulikutana katika Kijiji cha Nanyala Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe nilipokuwa nafanya biashara ya kuuza mayai.

“Mtu ambaye nilikuwa namtegemea kunikusanyia mayai ni Salome, ndipo tukaanza urafiki mpaka hivi tumekuwa mume na mke,” alisema Timotheo.

Siku zote mapenzi ni mafuriko, huwezi kuyazuia kwa mikono; ndivyo ilivyokuwa kwa kijana huyo ambaye aliamua kuziba masikio asisikie kelele za ndugu na marafiki zake waliokuwa wakimuwekea pingamizi la kumuoa Salome kwa sababu ya ulemavu wake.

“Mwanzo tulikuwa tukiona kama Timotheo siyo wa kawaida lakini kwa jinsi wanavyoishi maisha ya furaha na kupendana wanatupa funzo kubwa katika maisha ya ndoa.

“Mimi nawaombea mema sana kwa Mungu, azidi kuwabariki na kuyafanya mepesi maisha yao,” alisema Samson kijana aliyejitambulisha kuwa ni rafiki wa Timotheo.

MLEMAVU-7.jpg

Kwa upande wake Salome akielezea historia fupi ya maisha yake alisema alipata elimu ya msingi, Katumba Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya.

“Wakati nasubiri matokeo nilifiwa na wazazi wangu wote na kubaki yatima.

“Baada ya hapo alinichukua mama mdogo aliyekuwa akiishi eneo la Igurusi ambako nilifaulu kwenda kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Jangwani Mkoa wa Dar es Salaam,” alisema Salome.

Aliongeza kuwa kutokana na mama yake mdogo kukosa fedha za kumsomesha alishindwa kuendelea na masomo.

Aidha alidai kuwa mama yake huyo alimshauri kurudia darasa la sita jambo ambalo hakulikubali hivyo kutakiwa na mama yake kuondoka na kwenda kuishi Itumba Ileje Mkoa wa Songwe.

Akiendelea na maisha Itumba, Salome anadai alitengwa na ndugu kwa madai kuwa amekataa kusoma na hivyo kuonekana kama mzigo wa familia.

MLEMAVU-2.jpg

“Maisha ya machungu yalipita, Mungu akanipatia Timotheo ambaye kusema kweli tunapendana na mtoto wetu tumempa jina la Emmanuel, hadi sasa ana miezi mitatu,” alisema Salome.

Kuhusu kukabiliana na changamoto za maisha, Salome alisema amekuwa akijishughulisha na uuzaji wa mkaa huku mumewe akifanya shughuli za udobi.

Pamoja na kuwepo kwa maisha ya furaha katika maisha yao, mwandishi wetu alishuhudia baadhi ya changamoto ambazo wanandoa hao wanakabiliana nazo.

Mfano katika kipindi hiki Timotheo amekuwa mstari wa mbele kusaidia malezi ya mtoto na kukosa muda wa kwenda kutafuta mahitaji ya familia.

Aidha, ukosefu wa baiskeli ya wenye ulemavu nayo ni tatizo ambalo linamlazimu Timotheo anapotaka kuongozana na mkewe kumpakiza kwenye baiskeli ya kawaida huku akiwa amembeba mtoto mgongoni.

Kutokana na changamoto hizo gazeti linawaomba wasamaria wema kujitokeza kuisaidia familia hiyo kwa hali na mali ili izidi kuwa na furaha na kujijenga zaidi kimaisha.
Weka namba yao tuchangie chochote

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Back
Top Bottom